Elections 2010 Je twawezaje jua matokea HALISI ya uchaguzi 2010?

nyasatu

Member
May 15, 2009
72
1
Wana JF,kusema kweli nina hamu saaana ya kujua exactrly true results(un chakachuaji)ya mwaka huu for presidential level ili nione hali halisi ilivyo ya kisiaa nchini na ili niweze waonea huruma vizuri hawa wana ccm,je wana chadema waliohumu or uongozi wa jf wanaweza pata izo data?achana na hizi za neccoz hazina chembe ya ukweli ndani yakeee....i guess CHADEMA itakua na matokeo yoote,
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
306
Wana JF,kusema kweli nina hamu saaana ya kujua exactrly true results(un chakachuaji)ya mwaka huu for presidential level ili nione hali halisi ilivyo ya kisiaa nchini na ili niweze waonea huruma vizuri hawa wana ccm,je wana chadema waliohumu or uongozi wa jf wanaweza pata izo data?achana na hizi za neccoz hazina chembe ya ukweli ndani yakeee....i guess CHADEMA itakua na matokeo yoote,

Zipo zile za uwongo ambazo hazija hakikiwa na NEC, ambazo nyingi ni FEKI SANA
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom