JE.Tutegemee ziara za kimataifa kama kipindi cha Kikwete?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Habari ya J2 ndugu jamaa na marafiki lengo langu ni kuuliza tu kwa awamu hii ya tano je tutegemee ziara za kimataifa za maraisi mbalimbali wa dunia kushuka kwenye ardhi yetu kama kipindi cha jk tumeshuhudia Marais mbalimbali wakija kama OBAMA,BUSH,CLINTON,yule wa china,ufaransa,Urusi n.k..
 
Kikwete si alikuwa mwanadiplomasia kwani sasa hivi tuna mwanadiplomasia? Si tunamwana sayansi? Labda wanasayansi watakuja kwa wingi!
 
Mara mwanadiplomasia mara dhaifu, mwacheni jakaya ajipumzikie.tuucheze huu mziki,wa sasa hapa kazi tu. TUNYOOKE TUWE NA NIDHAMU.
 
Back
Top Bottom