Je, tutegemee haya kutoka kwa Mambosasa na sakata la Mo Dewji?

MastaKiraka

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
5,049
15,835
Habari Wanajukwaa.

Baada ya Mh. Rais kugusia juu ya suala la Mo dewji na kuonyesha kama kuna dalili za uzembe/usanii mahali fulani katika kuchukua hatua, niliamua kupita pita mtandaoni na kuperuzi matukio mbali mbali yanayotaka kuendana na hili ki nadharia.

Ghafla kichwani likanijia suala la Lugumi na Mikwara mizito kutoka kwa Mh. Kangi Lugola.

Tujikumbushe kidogo.

Mnamo July 2, 2018 Mh. Magufuli alimuapisha Mh. Kangi lugola kuwa waziri wa mambo ya ndani. Aliyetolewa nafasi hiyo Ndugu. Mwigulu Nchemba alionekana kuwa dhaifu katika utendaji, moja kati ya mambo yaliyopelekea 'kutumbuliwa' kwake ilikuwa ni Sakata la Lugumi.

Wakati wa Kumuapisha Mh. Kangi Lugola moja ya jambo alilotakiwa kulichukulia hatua ni sakata la Lugumi kwani ilionekana ni wazi Rais alijithibitishia kuwa Lugumi alikua na hatia ya Kujibu. Rejea link hii

Ikulu, Dar: Rais Magufuli ataka Lugumi achukuliwe hatua. Kuna hela zimechezewa NIDA, achoka kutoa rambirambi - JamiiForums

Mh. Kangi Lugola baada ya kuupokea uwaziri alitoa maagizo haraka sana Lugumi ajisalimishe ofisini kwake, bila hiyana Lugumi 'aliogopa' hatua kali ambazo zingechukuliwa dhidi yake endapo asingeitikia wito, hivyo basi alijisalimisha ofisini kwa Mh. Kangi Lugola

Said Lugumi aogopa kupata tabu sana, ajisalimisha Wizara ya Mambo ya Ndani kuitikia wito wa Waziri Kangi Lugola - JamiiForums

Baada ya kikao na mazungumzo ya kina kati ya Kangi Lugola na mtuhumiwa Lugumi, ilionekana wazi Lugumi alikua na hatia na alitakiwa Kukamilisha Mradi ndani ya miezi minne aliyopewa.

Waziri Kangi Lugola akutana na Lugumi, akubali kumpa miezi minne kukamilisha mfumo wa kudhibiti uhalifu - JamiiForums

Hatujui kilichokua kikiendelea nyuma ya pazia wakati wa utekelezaji wa agizo ndani ya miezi mi nne ghafla tukaambiwa hakuwa na kosa na tena Serikali ndio ikaonekana ilikwamisha kutekelezeka kwa mradi.

Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo - JamiiForums

Huu ndio ukawa mwisho wa tuhuma dhidi ya Lugumi, mpaka sasa haijasikika kauli kutoka kwa Mh. Dhidi ya mwisho huu wenye utata mkubwa.

Je kupitia mtiririko huu tutegemee Tamko kutoka polisi litakalozima kabisa mashaka ya watanzania dhidi ya 'utekaji' wa Mo Dewji.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri kwanza Simba ishinde kesho!
 
Haya ni maigizo tu ya Magufuli!
 
Camera Za eneo la Tukio zilimuona Haji Manara Kama Mzungu toka South Africa

Tuanze Na zile camera zenye uwezo wa kujua utaita wa Mtu maana Ni Za kiwango Cha juu Sana
 
Mkuu, hatuna namna zaidi ya kusubiri tu, ukweli utajulikana siku moja

Binafsi simpendi Mambosasa lakini kwa hili ni vizuri endapo walio juu yake/wakubwa wa kitengo ndio wangejibu kwani tukio ni kubwa kuliko alivyo Mambosasa tunayemjua na tukio hili ni la taifa na kimataifa pia kwani percussion zake zimeenda mbali mpaka nje ya inchi .....why only Mambosasa na sio DPP au IGP? wakimula kichwa Mambosasa watakua wameua inzi kwa rungu.
 
Hivi Mo amewahi kuojiwa na police kuhusu kutekwa kwake?.

Ilitusumbua watz na kufanya maombi ili awe sslama huko aliko; amewahi kuwa na kipindi chs television extensive au mahojiano ya kina na gazeti lolote kutueleza mkasa huu?.

Akina Roma nao wamewahi kuueleza umma kwa kina ni nini kiliwakuta?. Kama bado hawatutendei haki sisi watanzania. Na wanakuwa na jinai kwa kuficha uharifu waliofanyiwa na hao watu wabaya. Na kwa nini wafiche?.

Au kutohojiwa kwao/ kesi zao kutokamilika uchunguzi inatokana na wao kuwa Mbali kama TAML na dereva wake.

Tunastahili kujua nini kiliwatokea Mo na akina Roma. Huenda itasaidia kuzuia vitu vya namna hiyo visitokee.
 
Back
Top Bottom