Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

16 February 2022
Brussels, Belgium

LIVE : TUNDU LISSU MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA ANA 'SHARE' NASI NINI WALIZUNGUMZA NA MH. RAIS SAMIA HASSAN KWA MUDA WA SAA MOJA MJINI BRUSSELS

Source : Nadj Media Centre
Ni Yeye
 
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.

Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.

Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Wale chawa chonganishi wanawakati mgumu sana!
1645040835557.jpg
 
16 February 2022

"HALI YA UTANZANIA INARUDI"

BAADA YA KIKAO NA LISSU, RAIS SAMIA ANENA: "TUSAMEHEANE TUJENGE NCHI"

Kikao kati ya Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu Jijini Brussels, Ubelgiji, kimepokelewa kwa hisia mchanganyiko na kimeibua mjadala katika jamii. Rais anasema ujumbe mzito alioondoka nao kikaoni ni huu:"Tusameheane tujenge nchi." Tundu Lissu anasema wamezungumza kuhusu hali ya nchi yetu. Huu hapa ni uchambuzi wetu mfupi.

Wadau wengi wakiwemo Bi. Helen Kijo-Bisimba , mhariri wa habari Absalom Kibanda wazungumzia kikao hiki kilicho gumzo kubwa sana kwa watanzania na pia jumuiya ya kimataifa ....

Source : SK Media Online TV
 
sio ajabu wakuu,kila raia watanzania ni haki yake kikatiba kuomba au kutakwa kukutana na rais.lkn mm najiuliza kwa nn akina lisu,lema hawataki kurudi nyumbani!!?, shida Nini!!? Wanamuogopa hangaya au !!?
Hata wasiporudi mi naona sawa tu. Ni hiyari yao kutokana na mipango yao.
 
Haogopi maswali yoyote bali ni tabia ya huruma tu ya Samia (wazanzibari) kutopenda dhulma na mikiki mikiki isiyo na sababu. Kilichotokea kwa Mbowe ni "bad timing" ya Mbowe tu vinginevyo mama asingekubali kuwekwa ndani.

Lakini hakuwa na namna nyingine. Mtu mpya kwenye kiti huku kuna majanga lukuki ya kushughulikia then mtu mwingine anakuja na manmade janga la kuanzisha maandamano. Rais yeyote yule angefanya vile ili kutuliza hali.

Bad timing.
Sasa Hali imetulia? Mbonà fukuto kubwa liko underway
 
Nasikia Chief ndiye aliyemtafuta Lisu. Habar za chini chini zinadai hivyo. Sidhani, Ila bottomline Ni kuwa wamekutana, hopefully something material will come out
 
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo.

Sasa uzuri wa Bahati ni kwamba Mama amefanya ziara nyingine kwenye nchi za Ufaransa na Belgium, tunaamini kwamba akishafika huko atakutana na Watanzania walioko huko na kubadilishana mikakati.

Swali langu dogo ni hili, Je Mh mama akifika Ubelgiji atakutana na Tundu Lissu ambaye ni miongoni mwa watanzania wanaoishi huko?
Mkuu Heshima kwako....
 
Je wewe ni yule tuliambiwa ni nabii!!!😂
 
Screenshot_20220217-114842.png

Watanzania wanahitaji mabadiliko ya kweli na umoja. Vyama vya siasa visiwatumie Watanzania kukidhi mahitaji yao.
 
Back
Top Bottom