Je, Tundu Lissu anaichafua nchi yetu au anasema ukweli wa kilichomtokea? Je, Serikali yetu iwe Proactive kusema ukweli au Reactive kumjibu?

Msitake kuwachafua viongozi wetu kwa kuwachanganya na watu wasioeleweka wala kujielewa wao wenyewe. Awamu ya tatu iliifanyia nchi hii mambo makubwa sana lakini haijapata kutokea viongozi wake kujisifia wala kujitangaza. Huo ndio uongozi. Mkapa na Nyerere ndiyo viongozi walioiweka nchi hii kwenye ramani ya ulimwengu kidiplomasia. Nyerere ndiye alimponya Babu asipelekwe Zanzibar 1972 akihofia angeuawa; wewe unasema alimfukuza! Babu alikwenda kufundisha Ulaya na Marekani na ikuwa huru kuja nyumbani wakati wowote. Kambona alikimbia mwenyewe. Jumbe aliwajibishwa na vikao vya chama chake. Mkapa alikuwa mjeuri lakini kiongozi mwenye upeo na exposure.

Wrong!

A.Babu aliondoka kwa sababu ya kutokuelewana na Nyerere na alifia ukimbizini Uingereza!
 
Ndo maana nasema Serikali na CCm wote ni dhaifu!

Pole; naona unaumia sana. Lakini ukweli ni kwamba ukisikiliza na kusoma habari za hapa nchini utaona kuwa siku hizi hatuna ccm wala serikali. Tunaye rais tu! Yeye ndiyo kila kitu. Yeye ndiye anayepeleka fedha za umma kwenye taasisi na miradi na mikataba yote inasainiwa ikulu mbele yake! Hata jana channel 10 walipewa 200m/= na rais; siyo ccm wala serikali. Hustahili kuwalaumu ccm wala serikali!
 
Wrong!

A.Babu aliondoka kwa sababu ya kutokuelewana na Nyerere na alifia ukimbizini Uingereza!

Very wrong. Sijui umri wako lakini nadhani ni wale uv-ccm wanaohenyea uteuzi; au pengine hata umeshaupata! Pamoja na hayo, itakusaidia ukijua kuwa Babu alikuwa waziri huku bara wakati Karume anauawa. Mimi nilikuwa sekondari wakati huo. Alikuwa mmoja wa watuhumiwa na alikamatwa na kuwekwa ndani huku bara. Lakini Nyerere akaweka masharti ya yeye kupelekwa Zanzibar kujibu mashtaka. Alifanya hivyo kutokana na uzoefu wa akina Kassim Hanga ambao alikubali kupelekwe Zanzibar kujibu mashtaka lakini wakapotea bila kufikishwa mahakamani. Nyerere alithamini sana uhai wa binadamu. Serikali ya Zanzibar iliposhindwa kutimiza masharti Nyerere akakataa katakata kumwachia Babu kwenda Zanzibar bila uhakika wa usalama wake. Hivyo Babu alibakia kizuizini bara kwa usalama wake na baadaye akamwachia. Akiwa kizuizini aliandika kitabu: African Socialism or Socialist Africa? Baada ya kuachiwa asingeweza kurudishwa serikalini bila kuathiri muungano hivyo akaenda nje kufundisha. Akiwa huko nje alikuwa huru akialikwa mara kwa mara UD kama msomi mzalendo. Babu hakutofautiana hata kidogo na Nyerere; alikuwa ni kipenzi na yeye ndiye aliyeasisi uhusiano wa nchi hii na China ambao Nyerere aliuthamini sana.
 
Na bado utauliza geti aliwafungulia nani maana walinzi walitolewa.Utaulizwa kwani ni nani alisema camera ziling'olewa?Na kama nani Na kwanini?Na alifanya uchunguz sa ngapi?Kama alianza kufuatiliwa toka bungeni kwanini hakusimama awapishe maana anawajua walianza kumfuatilia toka Dar.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Professional rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very wrong. Sijui umri wako lakini nadhani ni wale uv-ccm wanaohenyea uteuzi; au pengine hata umeshaupata! Pamoja na hayo, itakusaidia ukijua kuwa Babu alikuwa waziri huku bara wakati Karume anauawa. Mimi nilikuwa sekondari wakati huo. Alikuwa mmoja wa watuhumiwa na alikamatwa na kuwekwa ndani huku bara. Lakini Nyerere akaweka masharti ya yeye kupelekwa Zanzibar kujibu mashtaka. Alifanya hivyo kutokana na uzoefu wa akina Kassim Hanga ambao alikubali kupelekwe Zanzibar kujibu mashtaka lakini wakapotea bila kufikishwa mahakamani. Nyerere alithamini sana uhai wa binadamu. Serikali ya Zanzibar iliposhindwa kutimiza masharti Nyerere akakataa katakata kumwachia Babu kwenda Zanzibar bila uhakika wa usalama wake. Hivyo Babu alibakia kizuizini bara kwa usalama wake na baadaye akamwachia. Akiwa kizuizini aliandika kitabu: African Socialism or Socialist Africa? Baada ya kuachiwa asingeweza kurudishwa serikalini bila kuathiri muungano hivyo akaenda nje kufundisha. Akiwa huko nje alikuwa huru akialikwa mara kwa mara UD kama msomi mzalendo. Babu hakutofautiana hata kidogo na Nyerere; alikuwa ni kipenzi na yeye ndiye aliyeasisi uhusiano wa nchi hii na China ambao Nyerere aliuthamini sana.

A.Babu alifungwa na Nyerere mwaka 1972 tena alifungiwa huku Bara.
A.Babu na Nyerere walikuwa hawaivi kwa maana A.Babu aliukataa Ujamaa wa Nyerere, jielimishe tena hata alivyorudi kutaka kugombea nccr walimuwekea zengwe.

Lkn A.Babu alifungwa bara na Nyerere na aliachiwa baada ya shinikizo toka nje.
 
Mayala andiko lako hili naliweka kwenye kumbukumbu za maandiko bora kabisa kuwahi kutokea hapa JF tangu kuanza kwa page hii miaka kadhaa iliyopita, Hongera brother you are also the great thinker like what others are
 
CCM,Serikali yetu ni dhaifu,wanahangaika kujitetea kama watoto wadogo, Tundu Lisu ni mgonjwa, unavyomjibu ndiyo furaha yake, ni kama mtoto mdogo ana push boundary kupima anaweza kwenda mbali kiasi gani kabla haujamzuia jinsi unavyomchekea ndivyo mtoto anavyozidi kupush mwishowe anaangusha TV kwa makusudi, mpaka umuweke mahali pake.

Kulikuwa hakuna haja ya Serikali kupitia Mabalozi wetu, CCM kupitia Katibu Mkuu wake a Bunge kupitia Spika kumjibu.

Wangemfuta Ubunge, wakamdai madeni yote alipe na kunyang’anywa kibali cha Uwakili TZ, kama mbwai na iwe mbwai, angalia Uhuru Kenya alivyomfanyia umafia Miguna Miguna, alifukuzwa kama mwizi Kenya, kila leo anashinda international media kuishutumu Kenya lkn husikii Serikali ya Kenya wakihangaika kumjibu, alirudi Kenya Airport hakutoka akapigwa biti kurudishwa nchi aliyotoka.

Nataka kuishi kwenye nchi yenye Raisi strong!
Naona hujui kinachoendelea Kenya Miguna Miguna kwanza ana uraia wa nchi mbili na hata ameshinda kesi waliomtesa wameamriwa kumlipa ksh m 7 toka mifukoni kwao na si kodi za wananchi, watu wa aina yako ndo wanatuharibia nchi
 
CCM,Serikali yetu ni dhaifu,wanahangaika kujitetea kama watoto wadogo, Tundu Lisu ni mgonjwa, unavyomjibu ndiyo furaha yake, ni kama mtoto mdogo ana push boundary kupima anaweza kwenda mbali kiasi gani kabla haujamzuia jinsi unavyomchekea ndivyo mtoto anavyozidi kupush mwishowe anaangusha TV kwa makusudi, mpaka umuweke mahali pake.

Kulikuwa hakuna haja ya Serikali kupitia Mabalozi wetu, CCM kupitia Katibu Mkuu wake a Bunge kupitia Spika kumjibu.

Wangemfuta Ubunge, wakamdai madeni yote alipe na kunyang’anywa kibali cha Uwakili TZ, kama mbwai na iwe mbwai, angalia Uhuru Kenya alivyomfanyia umafia Miguna Miguna, alifukuzwa kama mwizi Kenya, kila leo anashinda international media kuishutumu Kenya lkn husikii Serikali ya Kenya wakihangaika kumjibu, alirudi Kenya Airport hakutoka akapigwa biti kurudishwa nchi aliyotoka.

Nataka kuishi kwenye nchi yenye Raisi strong!
Vipi wamekwapua password yako?

CAG aliitwa kujieleza Bungeni, wewe utaitwa kujieleza wapi?

CCM,Serikali yetu ni dhaifu,wanahangaika kujitetea kama watoto wadogo, ......
Wangemfuta Ubunge, wakamdai madeni yote alipe na kunyang’anywa kibali cha Uwakili TZ, kama mbwai na iwe mbwai, angalia Uhuru Kenya alivyomfanyia umafia Miguna Miguna, alifukuzwa kama mwizi Kenya, kila leo anashinda international media kuishutumu Kenya lkn husikii Serikali ya Kenya wakihangaika kumjibu, alirudi Kenya Airport hakutoka akapigwa biti kurudishwa nchi aliyotoka.

Nataka kuishi kwenye nchi yenye Raisi strong!
 
pascall Mayala, kijana Lissu is a fool at large. I thought the guy was educated enough kumbe ni wale wale tu. Tujiulize, yeye kwenda kujinadi nje ya nchi kunampa manufaa gani au ni hasira gani alizonazo na nchi yake mpaka aende kuropoka like he did? Je, anataka wampe urais au analilia kupewa uraia huko alikokwenda? The guy is a fool, seriously.....sehemu zingine mtu kama huyu anauliwa kwa usaliti.
16 bullets bro!!? ..even me I wouldn't care about gvnt
 
CCM,Serikali yetu ni dhaifu,wanahangaika kujitetea kama watoto wadogo, Tundu Lisu ni mgonjwa, unavyomjibu ndiyo furaha yake, ni kama mtoto mdogo ana push boundary kupima anaweza kwenda mbali kiasi gani kabla haujamzuia jinsi unavyomchekea ndivyo mtoto anavyozidi kupush mwishowe anaangusha TV kwa makusudi, mpaka umuweke mahali pake.

Kulikuwa hakuna haja ya Serikali kupitia Mabalozi wetu, CCM kupitia Katibu Mkuu wake a Bunge kupitia Spika kumjibu.

Wangemfuta Ubunge, wakamdai madeni yote alipe na kunyang’anywa kibali cha Uwakili TZ, kama mbwai na iwe mbwai, angalia Uhuru Kenya alivyomfanyia umafia Miguna Miguna, alifukuzwa kama mwizi Kenya, kila leo anashinda international media kuishutumu Kenya lkn husikii Serikali ya Kenya wakihangaika kumjibu, alirudi Kenya Airport hakutoka akapigwa biti kurudishwa nchi aliyotoka.

Nataka kuishi kwenye nchi yenye Raisi strong!
Ila afadhali wew umeongea ukweli .
Shida hao viongozi wako ni wanafiki, wanataka kimataifa waonekane ni viongozi wenye demokrasia kumbe ni madikteta makubwa.
Wajioneshe tu sura yao halisi si kutufanyia unafiki.
Hapa badala ya kusema Lisu anachafua udikteta wao wanasema Lisu anaichafua Tanzania. Nyie ni viongozi tu wala si Tanzania. Mtakuwepo kwa muda mfupi ila Tanzania itaendelea kuwepo.
Ni sawa na mtoto uwe unampiga afu unasema usiwe unasema kua ulipigwa.
Viongozi wa Tanzania achane unafiki onyesheni tu sura yenu halisi hata dunia ijue tu kua Tanzania kuna udikteta mana mmewafanya watanzania kua subjects badala ya kua citizens.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom