johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,866
Tundu Lissu ni Mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na ni mbunge wa jimbo la Singida mashariki.
Lissu amepona lakini bado anajiuguza so kama kiongozi wa bunge ingekuwa vema akajiuzulu nafasi ya Mnadhimu mkuu na kubakia mbunge wa kawaida hadi pale afya yake itakapotengamaa then airejee nafasi yake ikibidi.
Hii itasaidia kupunguza " kuchanganyika" kwa stress za kufanya maamuzi ya kiuongozi na zile za kujiuguza.
Nimeambiwa mahali fulani kuwa Rip Sokoine aliwahi kujiuzulu nafasi ya Waziri Mkuu ili aweze kujiuguza kwani alihofia stress za kujiuguza kuinfluence maamuzi yake ya kiuongozi.
Mchana mwema
Maendeleo hayana chama!