Je tunayazingatia haya ya Gazeti la leo la MwanaHalisi

Komamanga

JF-Expert Member
May 2, 2009
221
17
Nimepita kwenye blog ya Mkuu Kennedy Kimaro nikaona hili gazeti sidhani kama ni dhambi kuweka hapa jamvini.


100_7295.JPG
 
Last edited:
Wakuu mtanisamehe sana kwangu hapa linaonekana nimepost ila nashangaa kwamba kwa wengine halionekani? Ila namshukuru Masanilo kwa kuweka link na Title ilikuwa ni Ukurusa wa pili (2) una vichwa vya habari viwili ROSTAM KATIKA TOPE JIPYA na cha pili ni MKAPA ACHOTA NSSF
 
ukitaka kusoma habari hiyo. angalia pale kwa muweka maada. kuna kabox kana x nyekundu ndani yake. right-ckick ndani ya hako kabox, hten copy halafu nenda upaste kwenye ukurASA MPA WA OFFICE WORD. itachukua kama dakika mbili au tatu itatokea.
 
ukitaka kusoma habari hiyo. angalia pale kwa muweka maada. kuna kabox kana x nyekundu ndani yake. right-ckick ndani ya hako kabox, hten copy halafu nenda upaste kwenye ukurASA MPA WA OFFICE WORD. itachukua kama dakika mbili au tatu itatokea.

Hii habari ipo nusunusu, ipo katika kipande cha gazeti ambacho hakipo kamili.
 
Du Saed Kubenea anatisha!Yaani pamoja na faini ya bilioni 3 ametoka na habari nyingine!Nashindwa kuelewa ina maana hii nayo itakuja kupelekwa mahakamni nayo ikamue bilioni nyingine!Hivi huu ni mchezo au nini?Who is right?Confusing!RA tuhuma zimezidi, ila ndio mzee wa kidedea kila issue lazima ainuke kidedea!Nakumbuka ilianza na Mwakyembe, akaja Mengi sasa Kubenea.Na inaonesha akiguswa RA inakuwa kama system yote imeshikwa pabaya, Serikali inatoa matamko in favor of RA!Any way-may be ni mtazamo na hisia zangu-I am open to be corrected!Any thought JF thinkers.....
 
mi sijaliona labda urudie km una nia ya kweli kwamba tujue kilichomo..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom