Yani ni vichwa maji hasa...wanataka kutetea kila jambo, miaka 50 ya Uhuru bado taifa masikini, 80% wanaishi chini ya 2500 kwa siku, na bado wanaona wana haki ya kuongoza nchi! Worse wanataka kundi LA 2500 kwa siku liongezeke ili wajenge uchumi, yani MTU anaishi chini ya 2500 anakuwaje soko? Au wanataka hata hiyo elfu 2500 waigawane! Sio ukichaa ni nini? Kwakweli Mimi CCM nimeichoka sana...hata wakisema wa marekani wanataka kuindoa ni sawa tu. Tumechoka umasikini.Watetezi wa chama hawa ni vichwa maji kabisa.