Je tunaweza kuichallenge sheria inayofanya marekebisho ya katiba? Kwa vipi?

Oct 12, 2012
52
10
Jamani mimi swali langu na msaada ninaotaka toka kwenu ni je tunaweza kuchalenji sheria inayoregulate mabadiliko ya katiba na ni kwa namna gani naweza kuichalenji sheria inayofanya marekebisho ya katiba!!? Kimbunga hicho jamani!!!!!
 
Mkuu rejea Kesi ya Mtikila ya Mgombea binafsi (huru) uone jinsi Mahakama Kuu ilivyodeal na hoja kwamba "provisions of the constitution are unconstitutional!"
 
Undesputed fact and a nice try bt hujalewa swali? Nauliza sheria ya marekebisho ya katiba inaweza kuwa challenged vipi!? Siulizii kama provisions za constitition zinawezakuwachallenged!!
 
Back
Top Bottom