Je tunatarajia nini kutoka kwenye muswada huu sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je tunatarajia nini kutoka kwenye muswada huu sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M'Jr, Nov 15, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jana baada ya kuwasilishwa kwa muswada wa mabadiliko ya katiba na kisha kufuatiwa na hotuba za kamati na kambi ya upinzani, wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waliamua kutoka nje kwa kile kinachoelezewa kutopewa nafasi ya kusikilizwa na Spika Mh. Anna Makinda.

  Baada ya kutoka nje mijadala iliendelea kwa wabunge watatu kuchangia, hapa ndipo ninapopata tatizo mimi kwani katika wote waliochangia hakuna hata mmoja aliyeuendea muswada na kuuchambua kwa kina bali wote waliishia kwenye kuwapiga vijembe wale waliotoka nje na kuwaita wanafiki. Sasa ikiendelea hivi nini maana ya kupeleka mjadala huu bungeni? Nimepata maswali kadhaa hapa,

  1. Muungano ni dhahiri unahitaji kuzungumziwa sasa kwa mapana
  2. Je, wabunge wa CHADEMA na NCCR wametusaidia kwa kutoka kwao nje au ndio wametulaza nje?
  3. Nini mwelekeo wa nchi yetu sasa?
  Napata wakati mgumu mwenzenu............................
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa sababu ccm wana roho ngumu watafanya wenyewe'hawatahusisha wapinzani wala wanaharakati'wana roho ngumu sana na itatuletea shida kubwa
   
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Na hapo ndipo mi ninapopata tabu kidogo, kuna kitu ambachpo watu hatutaki kukikubali sasa na kama hatutakikubali kitakuja kutupeleka pabaya, ni kwamba watanzania wa sasa sio wale wa miaka kumi iliyopita na wana upeo mkubwa wa kuelewa mambo na sio kusubiri tu kuambiwa nini cha kufanya. Tukikubali hili tutafika na tukiendelea kuendesha mambo kama tuko 1991 tutaipeleka nchi yetu pabaya
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kitachotokea ni kwamba CCM kwa kuwadharau wapinzani wataendelea na mchakato
  wao kama wanavyotaka. Itakapokuja wakati wa constitution referendum Watanzania
  tutaikataa hiyo katiba na MISSION ya CCM itakuwa COMPLETED, kwamba under CCM
  by hooks and nail hatutapata KATIBA MPYA.

  This is deliberate calculated move ya CCM. With CCM at helm there is no NEW CONSTUTION
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mh a point to think about......
   
 6. April

  April Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yawezekana ndo lengo lao hiloo, ngoja tuone mbichi ama mbivu hizi!
   
Loading...