Je, tunajifunza nini kutokana na kifo?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,120
7,701
Bila hata Maskofu, wachungaji na Mashek kutoa mahubiri kwa waumini wao, naweza kusema kwa hakika kifo tu kinatosha kuwa ni somo na fundisho tosha kwa binaadamu tulio baki hapa duniani.

Yafuatayo ni baadhi tu ya mafunzo tunayo weza kuyapata kutokana na kifo;

1. Hakuna atakaye kikwepa kifo.

2. Tumia vuzuri uhai wako.

3. Kwa viongozi katika nyanja mbali mbali tendeni Haki kwa watu wote bila ubaguzi wala upendeleo au kumuonea mtu.

4. Usijifanye mjanja na jeuri eti kwa kuwa huumwi na mwenye afya njema.

5. Ahera ni karibu sana kuliko umbali uliopo kati ya mdomo wako na pua.

6. Thamani ya binaadamu ni pindi unapo kuwa hai.

7.
 
Maneno ya Mungu alioyasema yanakuwa yametimia,'walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile,kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika'Mwanzo 2:17,kwahiyo ni kitu kisicho kwepeka....
 
Bila hata Maskofu, wachungaji na Mashek kutoa mahubiri kwa waumini wao, naweza kusema kwa hakika kifo tu kinatosha kuwa ni somo na fundisho tosha kwa binaadamu tulio baki hapa duniani.

Yafuatayo ni baadhi tu ya mafunzo tunayo weza kuyapata kutokana na kifo;

1. Hakuna atakaye kikwepa kifo.

2. Tumia vuzuri uhai wako.

3. Kwa viongozi katika nyanja mbali mbali tendeni Haki kwa watu wote bila ubaguzi wala upendeleo au kumuonea mtu.

4. Usijifanye mjanja na jeuri eti kwa kuwa huumwi na mwenye afya njema.

5. Ahera ni karibu sana kuliko umbali uliopo kati ya mdomo wako na pua.

6. Thamani ya binaadamu ni pindi unapo kuwa hai.

7.
Kifo ni kiboko yetu!
 
Back
Top Bottom