BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
Ni majuzi tu nimeona aina nyingine ya condom imezindukiwa hapa tanzania...hii inamaaisha biashara ya ngono inalipa na watanzania wengi wanatumia condom....ndio condom inasaidia kupunguza maambukizi...lakini je tunaitaji aina nyingine ya condom?ujio huu unamaanisha mambomengi.