Je, tuna viongozi wajuao theories pekee!!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,597
8,738
Ukisikiliza hizi hotuba utajua Tanzania ilivyo kwasasa. Lazima tuwe na viongozi wanaojua dunia inavyoenda. Ushamba ni issue sana treni ya mwendo kasi je huyo waziri ameshawahi hata kupanda treni ya mwendo kasi? Kodi unaweza kuweka hata 90% lakini je una wawekezaji?





 
Back
Top Bottom