Je, Tumekosa 'LEGACY' na 'VISION' ya JK ktk sherehe za Miaka 50? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Tumekosa 'LEGACY' na 'VISION' ya JK ktk sherehe za Miaka 50?

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Andrew, Dec 11, 2011.

 1. Andrew

  Andrew Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2007
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa kutoa hotuba ya kuazimisha miaka 50 ya uhuru pale kiwanjani, na hata kutoa maono au dira yake 'VISION' kwa miaka mingine 50 inayokuja ambayo ingeweza kuwekwa kwenye kumbukumbu muhimu kwa mstakabali wa taifa. kwa mshangao mkubwa hatukuona ujasiri zaidi ya kuomba msamaha wa kutokuoa hotuba ndefu! je, tunaelekea wapi? maana tunajua tulikotoka!
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ingawa mie mgeni lakn karibu
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Haya ni mambo ambayo anafikir mtu mwenye akili. Kwa mtu mwenye akili kama jk ni vigum sana kufikiria kwa upeo wa mbali namna hiyo. Hata wewe nikupe pongezi kwa kuwa umekaa na kufikiria kuwa Jk ilibiidi afanye nini. Yaani unaakili kuliko hata jk yawezekana ukawa president wetu umejitahidi kuanalyse kumzidi m.kwere.
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Andrew, una hoja za msingi ambazo zaweza kosa wachangiaji kwa vile umekosea jukwaa. Peleka hii jukwaa la siasa.

  Pia naachukua nafasi hii kukukaribisha another greatest thinker!
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Ona hoja mkuu.
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Karibu sana mkuu!
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  hoja ni nzuri ila unatakiwa ujitambulishe kwanza halafu upeleke hoja yako kwenye jukwaa husika. Karibu sana
   
 10. s

  sanjo JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nchi inapokosa dira na maadili kwa viongozi gharama yake ni kubwa sana kwa maendeleo endelevu.
   
Loading...