Je, tuliomponda Kocha Ndayiragije kwa Kumuita Betram Nchimbi katika Kikosi cha Taifa Stars tumepotelea wapi hivi ghafla?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Mkiambiwa kuwa muwe mnaheshimu ' Utaalam ' wa Watu wengine muwe mnasikia. Sasa Mburundi na akina Mgunda na Matola wameshatuziba Midomo yetu mikubwa na mirefu kama Chuchunge ambayo kila Uchao imejaa tu Majungu, Lawama na Kelele tupu wakati hata Leseni D tu za Ukocha hatuna halafu tukiwa Mitandaoni na Redioni au Vijiweni tunajifanya ni Wachambuzi wazuri mno.

Kocha Ndayiragije ametuumbua wengi kweli kweli hasa kuhusu Kumjumuisha Kikosini Mshambuliaji Betram Nchimbi tena dakika za mwisho kabisa baada ya Kutufunga Sisi Yanga SC Magoli Matatu peke yake ( Hat Tricks ) Temeke Shamba la Bibi na hadi akaondoka na Mpira wake. Kuna tuliokuwa tukisema alivyotufunga Yanga SC alibahatisha je, na alivyotupeleka CHAN 2020 jana nchini Cameroon kwa Kufunga Goli lake la Ushindi pia alibahatisha?

Tukome!.
 
Bro unaandika pumba mno.

.........unajaza utumbo ndani watu wako wa karibu wanatakiwa wakushauri.
 
Na Wewe ni nani labda aliyekushauri uache tabia yako ya Ushoga uliyodumu nayo kwa takribani Miongo Mitatu?

Bro Kuwa muelewa unaandika vitu vya hovyo sana raia wanashindwa tu kukwambia.

...............Sio lazima kila mtu aanzishe uzi humu.

Badirika.
 
Unampa tu sifa zisizostahili huyo Ndairagije. Angekuwa anamtambua Ditram Nchimbi kama mshambuliaji bora, asingekubali kumtoa kwa mkopo kwa mara nyingine tena kwenda Polisi Tanzania na kuwabakiza wachezaji wazee na magarasa kama Donald Ngoma, Obrey Chirwa, Seleman Ndikumana na yule Mrundi mwenzake Mvyekule!

Nchimbi aliitwa dk za mwisho kwa sababu tu ya shinikizo! Aidha kutoka kwa mashabiki, nikiwemo mimi! Au kuna vigogo wenye nguvu pale TFF walichagiza aitwe hasa baada ya kutufunga hat trick timu ya wananchi. Siku ile tulipofungwa, nilikuwa mmoja ya wadau tuliomwagia sifa kede kede humu.Na leo ukweli umedhihirika.

The Young man is a bull striker! Yupo katika level za akina Olivier Giroud, nk. Ukifanya makosa, anakuadhibu. Nimemfuatilia tangu akiwa Mbeya City, Njombe Mji, Mwadui na hata sasa Polisi Tanzania. Namtakia kila la heri kwenye maisha yake ya soka pamoja na mchezaji mwenzake Shaban Chilunda.
 
Idiot. Eti ' badirika ' badala ya ' badilika ' ambayo ndiyo sahihi. Yaani Kiswahili chenyewe tu hukijui na kinakupa taabu hivi utaweza kweli kupambana na ' BRAINIAC ' Mimi An Eagle? Ndiyo nazidi tu Kukudharau hadi nakuonea Huruma pia.
 
Nimegundua pia kuwa Wewe iwe isiwe ni lazima tu utakuwa ni Mshabiki wa Timu ya Arsenal ambayo ni tia maji tia maji tupu.
 
Anaitwa bertram au dirtmal

Bora ya hata Mimi niliyekosea kidogo kwa kuandika Betram badala ya Ditram ( Jina sahihi na linavyoandikwa ), ila Wewe Mwenzangu sijui huyu ' Dirtmal ' uliyemwandika hapa anatokea katika Sayari gani / ipi hapa duniani. Mkiwa mnakuwa na ' Viherehere ' vya kutaka Kuwashushua Watu basi jitahidini nanyi pia muwe sahihi au na uhakika wa kile mnachokiandika vinginevyo nyie ndiyo mtajikuta mnakuwa Wapuuzi kabisa.
 
Hivi Jenta mbona unaandika pumba sana?

Kubeza, kukosoa, kushangilia, kudharau, kuchambua wachezaji na makocha ni sehemu ya mpira

usiforce tuwe na mawazo sawa
 
Idiot. Eti ' badirika ' badala ya ' badilika ' ambayo ndiyo sahihi. Yaani Kiswahili chenyewe tu hukijui na kinakupa taabu hivi utaweza kweli kupambana na ' BRAINIAC ' Mimi An Eagle? Ndiyo nazidi tu Kukudharau hadi nakuonea Huruma pia.
jenta pumzika team imeshinda kunywa hata maji umeshashangilia tangu jana inatosha
 
Bora ya hata Mimi niliyekosea kidogo kwa kuandika Betram badala ya Ditram ( Jina sahihi na linavyoandikwa ), ila Wewe Mwenzangu sijui huyu ' Dirtmal ' uliyemwandika hapa anatokea katika Sayari gani / ipi hapa duniani. Mkiwa mnakuwa na ' Viherehere ' vya kutaka Kuwashushua Watu basi jitahidini nanyi pia muwe sahihi au na uhakika wa kile mnachokiandika vinginevyo nyie ndiyo mtajikuta mnakuwa Wapuuzi kabisa.
Ulifikiri ni lile garasa lenu lipo Betram Mwombeki?
 
Idiot. Eti ' badirika ' badala ya ' badilika ' ambayo ndiyo sahihi. Yaani Kiswahili chenyewe tu hukijui na kinakupa taabu hivi utaweza kweli kupambana na ' BRAINIAC ' Mimi An Eagle? Ndiyo nazidi tu Kukudharau hadi nakuonea Huruma pia.
Kwani kujua lugha ya kiswahili ndio kuwa na akili wewe?????

Badilika
 
Back
Top Bottom