Je, Tufanye nini ili TUWANUSURU hawa Watoto hapa Bongo?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
598751_228274420632711_2020802122_n.jpg
 
Yani nikiona hivi nakasirika mpaka natetemeka yale mabilioni kule uswis
 
Ngoja watuambia katika manifesto walituahidi nini. Hapo maji shida, shule tabu,waalimu hamna, vitabu issue,hospitali ndio usiombe. Mkuu upo, tulikumiss.
 
piga chini ccm weka chama mbadala.. maana wao ccm walishazoea kutuona tunateseka kila kukicha
 
Tumechoka na porojo za vyama vya siasa. Tunahitaji Mapinduzi (Like Arabs Rising)
 
Na bado wanaambiwa nchi yenu ina maliasili nyingi ina Tanzanite iko Tz pekee ina Dhahabu,Uranium,Mafuta,Gesi Nchi yetu ina mlima mrefu kuliko yote Africa uitwao Kilimanjaro. Wanasikia kwenye Tv raisi leo kaenda Marekani na ujumbe wa watu 70 watakaa huko siku 8. Tanzania ina Maziwa Matatu Victoria,Nyasa na Tanganyika ?????? Hawa watoto wana maswali mengi sana kichwani ambayo majibu yake hawatakuja yapata
 
No priorities..,
Elimu yetu ipo ipo tu..., ili mradi siku zinazonga nobody cares kuanzi kwenye sera mpaka wale tuliowakabidhi wizara!
 
Back
Top Bottom