Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

Hawa Nasa nao sometimes wanakuwa kama bongomovie, mara kibao wanatudanganya kuna jiwe kubwa litagonga dunia na kuisambaratisha ila kila miaka wanayoitaja inapita na sisi tunadunda tu. Sasa wahamie huko hap jupita tu washawahi kutia mguu. Wazungu nao hamnazo
 
lakini pia mkuu ni kwamba speed ya wormhole ni sawa sawa na speed ya object( matter) in black holes..

Ndo mana wataalamu wanasema kuwa blackholes sometimes are wormholes bila sisi kujua...

manake nini..

speed ya matter kwenye black holes ni unmeasurable...

kama speed kwenye black holes ni kubwa kuzidi hata speed ya mwanga ,

kwa hiyo through wormhole nadhani itakuwa poa snaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu nimerudi nakusoma hii comment na kucheka sana. You're right kuwa speed ya matter kwenye black holes ni unmeasurable but in a reality no body has ever been in a black hole. Kumbuka it is unmeasurable kwasababu lazima kuwe na exotic energy ambayo itaweza kubalance kuta za wormholes zisiweze kupasuka, na ili hii itokee lazima kuwe na anti gravity energy. Ndiposa tunasema kwa ulimwengu huu wa nyama haiwezekani labda, tuyaaply hayo mambo in a spiritual world.
Kwani unaelewa nini pale wanascience wakubwa tena very classical wanaposema "wormholes are possible according to Einstein's theory of general relativity, such exotic voyages will likely remain in the realm of science fiction?"

mkuu,soma komenti yangu namba 29 huko juu ,nimelijibu hili swali vizuri ..

hapa ndipo Einstein's law of general relativity inapokuwa classical...

inafel kuelezea anti matter effects kwenye effects za magnetic field..

Effects ya anti matter kwenye unuversal magnetic field haijawahi kuelezewa na mtu yoyote kati ya wanasayansi wote ila ndo wanajaribu kutaka kuanza kuzielezea nadhani baada ya CERN PROJECT kuzindua hizo anti matter ..

Kwa hiyo Einstein simkubali hata kidgo kwenye hili jambo..

ni kijana mdogo snaa juu ya anti matter

sio lazima uingie kwenye black holes ndo utaweza kupima mwendo kasi wa vitu ndani ya blackhole..hapana mkuu..

kuna njia nyingi za kupima mwende kasi kwenye black hole..

Njia moja wapo ñi kwa kutengeneza artifial black hole na kuaccelerate hizo positron au neutrons ili kuzalisha anti matter( yani tunatumia matter kutengeneza anti matter) kisa tunaspima speed zake kwa kutumia modified anti matter spectrometer .

Kwa hiyo tukishajua speed ya antimatter basi ni speed ile ile kwenye blackholes ..

Kwa hiyo mkuu inawezekana kabsaa..

Ndo mana mimi naweza kukubaliana na usemi wa Tesla juu ya Anti matter effects kwenye universal energy ..

Kuna baadhi ya majaribio mengi tu yanafanyika ila kwa siri kubwa sana juu ya Anti matter effects..

HAARP projects ya nchini marekani ( ALASKA) inasadikika kuwa kuna baadhi ya commanding actions zinatumia mfumo wa Anti matter katika kuleta effects..

PhotoGrid_1535733659321.jpg

HAARP technology

Hivi unaufahamu mpango kabambe wa CERN PROJECT lakini? Is to prove whether or not God exists.

sasa unaprove vipi kitu kisichoonekana katika mfumo unaoonekana??

Ndo mana kupitia Anti matter tutaweza jua what started at first...

Hivyo basi tutaweza kumeasure forces ambazo hazionekani..

ukiweza kujua source ya nguvu ambazo hazionekani tayari utakuwa umejua chanzo chote..

Sasa hivi tunashindwa Kujua source ya nguvu zisizoonekana likiwemo la natural universal protections from natural and non explained phenomenon kwa sababu chanzo chake ni unseen forces..

Lengo ni kujua hilo na tayari utakuwa umejua kila kitu..

N.B..

Naomba nikuhakikishie tu ukweli kuwa kuna nguvu moja au centre ambayo all forces originate..

There is a core where we always obtain all powers,energy ,knowlege and so on..

So nguvu hiyo haionekani iko wapi kwa sababu effects zake haziwezi kupimwa kwa njia ya kawaida kwani mfumo uliopo wa kupima effects za kila kitu kilichopo ndani ya dunia hii kinapima matter effects basi...lakini nguvu inayoprotec katika natural way haina matter properties ndo mana tunasema kuwa tukijua composition ya nguvu hiyo basi tutajua source yake( core)..
sijui kama umeielewa mission behind CERN PROJECT japo wengi wamekalilishwa tu et kumtafuta Mungu.. :)

Mkuu mimi sikutaka huu mjadala uwe mrefu saana maana tutawachanganya watu tunapoongelea terms ambazo hawazifahamu zaidi ya kuwaumiza kichwa. Najaribu kuangalia ni kwa kiasi gani tunaweza kusimplify haya mambo kwa lugha nyepesi ili yaeleweke but nashindwa. Ila kumbuka nilishakwambia kuwa tutaishia katika ulimwengu wa kiroho na sio huu wa nyama ili haya yote yawezekane. Hizo beams zote zinatengenezwa kuangalia na kuchunguza nature ya hiyo POWER that holds all powers in the universe which is GOD haha

:D :D sawa mkuu...

tatizo unageneralize kuwa ni God wakati jibu linatafutwa ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi sikutaka huu mjadala uwe mrefu saana maana tutawachanganya watu tunapoongelea terms ambazo hawazifahamu zaidi ya kuwaumiza kichwa. Najaribu kuangalia ni kwa kiasi gani tunaweza kusimplify haya mambo kwa lugha nyepesi ili yaeleweke but nashindwa. Ila kumbuka nilishakwambia kuwa tutaishia katika ulimwengu wa kiroho na sio huu wa nyama ili haya yote yawezekane. Hizo beams zote zinatengenezwa kuangalia na kuchunguza nature ya hiyo POWER that holds all powers in the universe which is GOD haha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,

Katika huo utafiti unadhani ikidhirika kweli Mungu yupo,
Je hao watafiti watakuwa teari Ku reveal out the truth
Ambapo kama ilivyo sasa kuna kundi la watu ambao kwa namna 1 au nyingine inasemekana ndio dunia yao
Wanapanga nn kitokee n.k

Huoni kama kuna maslahi ya watu yataingiliwa?
 
Asante mkuu kwa swari zuri. Kuthibitika ilishathibitika tangu enzi na enzi; Kuwepo kwa viumbe visivyoonekana ila vinajishihilisha kwa binadamu kwa namna yao wenyewe ni ushahidi tosha kuwa there is supreme natural power that if not created, controls all visible and invisible things.
Hao wamaocontrol dunia katika hali ya mwili na nyama ndio wanaojaribu kubuni miradi yenye nia ya kupotosha ukweli juu ya Mungu mwenye enzi. Wanafadhili music and movie industries nia kubwa kutujaza impurities kwenye akili zetu kitu ambacho ni kinyume na Mungu anavyotaka.
Nitaendelea mkuu maana nimebanwa na natumia simu kutype
 
karibu sana kwa muendelezo...
 
sio lazima uingie kwenye black holes ndo utaweza kupima mwendo kasi wa vitu ndani ya blackhole..hapana mkuu..

kuna njia nyingi za kupima mwende kasi kwenye black hole..

Njia moja wapo ñi kwa kutengeneza artifial black hole na kuaccelerate hizo positron au neutrons ili kuzalisha anti matter( yani tunatumia matter kutengeneza anti matter) kisa tunaspima speed zake kwa kutumia modified anti matter spectrometer .

Kwa hiyo tukishajua speed ya antimatter basi ni speed ile ile kwenye blackholes ..

Kwa hiyo mkuu inawezekana kabsaa..

Ndo mana mimi naweza kukubaliana na usemi wa Tesla juu ya Anti matter effects kwenye universal energy ..

Kuna baadhi ya majaribio mengi tu yanafanyika ila kwa siri kubwa sana juu ya Anti matter effects..

HAARP projects ya nchini marekani ( ALASKA) inasadikika kuwa kuna baadhi ya commanding actions zinatumia mfumo wa Anti matter katika kuleta effects..

View attachment 852634
HAARP technology

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko vzuri had nakuonea wivu
 
Mkuu uko vzuri had nakuonea wivu

Duuu....sijui watu wanajulia wapi haya mambo...nakisema kuna watu ambao labda hawalali na hawasumbuliwi na usingizi nitakuwa nimekosea...yaani mtu uangaike na maisha halafu upate muda wa kuchimbua mambo mengi kiasi hiki inawezekana kweli. Kwa nchi za wangine inawezekana maana serikali zao amshirika zinawekeza katika tafiti kiasi kwamba mtu anayefanya tafiti anapewa kila anachotaka yeye kazi yake inabaki ni kutafiti tu...yaani hawazi mtoto atakula nn atavaa nn au atalipaje ada ya shule...Sasa kwa nchi kama Tz hata kama umezaliwa familia bora sidhani kama mdingi anaweza kukuruhusu kazi yako iwe ni kuchimbua tu bila kuzalisha chochote...ina maana hata Demu wa kukupotezea muda huna...hapana aisee
 
Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..

Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
View attachment 851315
Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..

Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!

Inaweza kuwa kweli..??

Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,

Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....

CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app

Daah,ila sayansi niliacha kuiamini zamani sana.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom