Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

Nimelipenda swali lako mkuu. Kwanza wormholes travelling ni scientific fiction na ipo kinadharia sana kwasababu haifuati law of physics. Hii science itaishia katika movie industry to na kama nawe ni sci-fi fan utaifurahia kwasababu inakufanya usafiri kutoka galaxy moja mpaka nyingine na kuzijua kona zote za universe. So itabaki kwenye movie making tu

Sent using Jamii Forums mobile app
lakini pia mkuu ni kwamba speed ya wormhole ni sawa sawa na speed ya object( matter) in black holes..

Ndo mana wataalamu wanasema kuwa blackholes sometimes are wormholes bila sisi kujua...

manake nini..

speed ya matter kwenye black holes ni unmeasurable...

kama speed kwenye black holes ni kubwa kuzidi hata speed ya mwanga ,

kwa hiyo through wormhole nadhani itakuwa poa snaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini mkuu mbona nasikia kuwa kituo cha kimataifa cha taarifa za Anga za juu cha Galactic kilivujisha taarifa juu ya technolojia hiyo kuwa ipo tayari kuanzia muda wowote wanaiachia but itaoperate in secret ways...??

View attachment 852404View attachment 852405
halafu mkuu naomba nikukanushe kidgo hapo uliposema kuwa Wormhole inaviolete Physics rules..

ni hivi ,sio kila principle za physics zinakuwa applicable..

Newtonian laws zinaprove wrong baadhi ya classical laws..

lakini bado Einstein's laws za relativity zina kasoro kubwa tu ndani yake..

ndo mana modern calculation imehusisha baadhi ya kuongeza collection factor kwenye formulae zao..

Kwa hiyo ukisema kuwa wormhole ni sci-fi naweza kataa lakini pia nakubali kwa sababu ya hidden facts za ukweli wenyewe...

kumbuka the real life being lived by people ni product ya sci-fi za miaka ya nyuma..

Everything is simulation..

kama unaamini ww live in simulation basi hata wormhole inawezekana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika kama kweli inatumika labda nirudi kwenye vyanzo vyangu kidogo kuing'amua hiyo siri ya matumizi ya hiyo teknolojia.
Nimebanwa na majukumu hapa alafu pia natumia simu kutype. Ila naomba ujiridhishe mwenyewe kwa kutembelea interstellar science "Is wormhole travel possible?" in www.space.com au just Google the word.
Naimani baadae tutakuwa na mengi ya kushirikishana. Asante

mkuu hebu ufafanuz wa kina juu ya wormhole tafadhali inafanyaje kazi itawezaje kuwezezesha mambo yanayoonekana kutowezekana kwa sasa? ahsante
 
mkuu...naamini siku moja itafahamika tu japo inaonekana kama siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
exotic matters ni nini kwasabab umeanzisha mada basi vitu kama hivi sio mbaya kuvifafanua pia mkuu ili twende sambamba

mkuu,exotic matter ni vitu ambavyo vinadeviate kwente principle za matter..

yani ni vitu ambavyo vinapoteza sifa ya kuwa matter..

kwamba ili kitu kiwe exotic ni lazima kiwe na sifa tofauti na matter..

make tunasema matter imeundwa na protons,neutrons na electrons..

sasa tunaposema Exotic materials ni vitu ambavyo vina sifa za anti matter( sifa ambazo haziocupy matter properties)

kwa hiyo kwa kuwa tutakuwa tumetengeneza Anti matter hivyo itakuwa rahis kuconstruct wormholes ambazo zitakuwa na speed kama ya black holes..

hivyo kufanya ipite kwenye anga za mbali kwa urahisi mkubwa bila kuwa affected na space time relationship..

ndo mana CERN PROJECT ajenda yao kubwa ni kutengeneza chembe chembe ( anti matter) au exotic materials ambayo ndo itakuwa moja wapo ya kutengeneza artificial wormholes..
Screenshot_20180831-144431.jpg

hiyo picha inakuonesha kuwa kupitia hizo wormholes tutakuwa na uwezo wa kumove kutoka galaxy moja hadi nyingime ndani ya masaaa kadhaaa tu ...

Hizo ni galaxy mbili tofauti kwenye hiyo picha ila kuna connection( wormhole) ambayo inafanya vitu vimove kwa speed kubwa kuliko ya mwanga..
Screenshot_20180831-144544.jpg

View attachment 852432

hiyo picha inakuonesha kuwa kupitia hizo wormholes tutakuwa na uwezo wa kumove kutoka galaxy moja hadi nyingime ndani ya masaaa kadhaaa tu ...

Hizo ni galaxy mbili tofauti kwenye hiyo picha ila kuna connection( wormhole) ambayo inafanya vitu vimove kwa speed kubwa kuliko ya mwanga..
View attachment 852433

Sent using Jamii Forums mobile app
shukran kwa elimu hii. unadhan binadamu ambaye kiuhalisia ni matter anaweza kuja kuwekwa ktk state ya ant matter ili aendane na hiyo technology? au yeye atatuma tu vifaa n.k kwa ajili ya uchunguzi
 
mkuu binadamu kama binadamu ni ngumu kupita kwa speed kubwa zaidi ya mwanga katika anga la steller kwa sababu yeye ni matter object ila kifaa kama kifaaa kinapita..

hatumanishi zile wormhole zitakuwa ni vifaaa kama ndege au space ship kama tunavodhani..hapana..

Wormhole ni concentric shaped magnetic field surounded by exotic( Anti matter) particles ambazo zitakuwq zinaspin with maximum force na kufanya zimove kwa speed kubwa saana..

kwa hiyo kitu chochote kitakachowekwa katikati ya fields hizo kitabebwa bila kujijua na kufikiswa sehemu husika kikiwa unconcious or concious state..

ni speed kubwa sana but wanajua wao jinsi gani ubongo wako wataufanya usiwe aware na tukio hilo

Tuingie kwenye utani.

naona wamefanya mambo yawe complicated tungewaenzi mababu na teknolojia yao nadhani tungefika mbali ikiwa mtu unafumba na kufumbua upo dar ukitokea kigoma maana yake ni kwamba ukifumba mara tano na kufumbua mara tano kwa speed ya kawaida unakua umemaliza bara moja sasa fikiria ufumbe kwa speed ya jicho lililo ppulizwa na upepo wenye vumbi kufiki kwenye mwezi si kugusa tu?
joke
 
kuna mipaka yake...

kwa atmosphere ya hapa duniani inawezekana but when you enter into other sphere inakuwa ngumu,otherwise utajikuta umenasa sehemu..

kuna mipaka mikubwa sana juu ya uchawi( technolojia asilia) katika kuoperate..

ndo mana kmaa ingekuwa rahisi kama unavofikilia nadhani wachawi wote nangekuwa matajiri lakini kwanini ndo masikini wa kutupwa..??

jibu ni moja tu.,kutojua how to use your knowlege kupita ( across) boundaries of limitness..

kweli mkuu. Afu unajua kuna mtu aliwah uliza endapo utatoboa dunia yetu hii ukapita matabaka yote utatokea wapi?

watu walijikanyaga kujibu na sidhani kama mada ile ilipata majibu.

unaweza kukuta tunahangaika kwenda juu kupitia anga hewa kumbe mambk ni kinyume chake yaani yawezekana mlango wa kufika huko ni kutoboa ardh na matabaka yake na kufikia hizo (molten materials kama zipo na kama wasemavyo wanasayansi) ukifika hapo vuuuuup upo kwenye galaxies nyingine.
naota
 
mkuu hebu ufafanuz wa kina juu ya wormhole tafadhali inafanyaje kazi itawezaje kuwezezesha mambo yanayoonekana kutowezekana kwa sasa? ahsante

Screenshot_20180831-171004.jpg

hii ndo wormhole anti matter with high and stronger magnetic fields ..

Screenshot_20180831-171025.jpg

wormhole inaunganisha au inakupitisha galaxy moja hadi nyingine bila kube affected na blackhole effects katika domain level..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli mkuu. Afu unajua kuna mtu aliwah uliza endapo utatoboa dunia yetu hii ukapita matabaka yote utatokea wapi?

watu walijikanyaga kujibu na sidhani kama mada ile ilipata majibu.

unaweza kukuta tunahangaika kwenda juu kupitia anga hewa kumbe mambk ni kinyume chake yaani yawezekana mlango wa kufika huko ni kutoboa ardh na matabaka yake na kufikia hizo (molten materials kama zipo na kama wasemavyo wanasayansi) ukifika hapo vuuuuup upo kwenye galaxies nyingine.
naota

The universe we live ina layers nyingi sana depending with awareness au knowlege ambayo umepata kuzielewa hizo layers
Arrangements ya hizo layers ziko katika parallel form..
Screenshot_20180831-172808.jpg

kwa hiyo unaweza ukadhani dunia unayoishi ni hii hii kumbe ndani ya hii dunia kuna dunia nyingine au universe nyingine kabsaa..
Screenshot_20180831-172710.jpg

Everthing you see is the reflection of you...your mental awareness construct the differences that exist.

your illusion will give you one universe( one world) but there is parallel universe in the universal awareness..
njia yoyote inaweze kukufikisha unapotaka ,but je utaweza kupita across limitness of boundaries..??
hapo ndo kazi inapoanzia..
Screenshot_20180831-172819.jpg

so we live in many universes that exihibit parallel formation
Screenshot_20180831-172819.jpg

pengine ndo mana tunashindwa kutofautisha kati ya Illusion and delusion.
tunashindwa kutoutisha kati ya illusion and Reality ..

Screenshot_20180831-172758.jpg

Parallel universe inatufanya tuone boundaries nyingi sana ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The universe we live ina layers nyingi sana depending with awareness au knowlege ambayo umepata kuzielewa hizo layers
Arrangements ya hizo layers ziko katika parallel form..
View attachment 852528
kwa hiyo unaweza ukadhani dunia unayoishi ni hii hii kumbe ndani ya hii dunia kuna dunia nyingine au universe nyingine kabsaa..
View attachment 852530

Everthing you see is the reflection of you...your mental awareness construct the differences that exist.

your illusion will give you one universe( one world) but there is parallel universe in the universal awareness..
njia yoyote inaweze kukufikisha unapotaka ,but je utaweza kupita across limitness of boundaries..??
hapo ndo kazi inapoanzia..
View attachment 852531
so we live in many universes that exihibit parallel formation
View attachment 852532
pengine ndo mana tunashindwa kutofautisha kati ya Illusion and delusion.
tunashindwa kutoutisha kati ya illusion and Reality ..

View attachment 852534
Parallel universe inatufanya tuone boundaries nyingi sana ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh shuleni hatuambiwi ukweli hata kama unajulikana
They lied to us, because we love lying
 
na pengi huenda kila universe ina kazi yake..

dunia tunayoishi hapa mimi na wew unayejibishana na mimi ni universe inayosupport soul in body form lakini pengime ukifa roho yako inatengana na mwili(body form) na kuingia universe au layer nyingine ya maisha..

pengine ndo mana mstali unaotenganisha universe hizi ni mdogo au mkubwa kulingana na uelewa wako juu ya hili na kupelekea mtu anapokufa kutokurudi hapa duniani ..

Pengine kila universe ina laws zake zinazogovern existance ya viumbe wowote wanapokuwa au kwenda kule..

Haya mambo ukitaka kuyajua inabidi uandae MAMILION YA GIGABYTES KWENYE UBONGO WAKO,ndo utayajua unless otherwise tuendelee kukalilishwa tu..

Mkuu kwa mujib wa wanasayansi wansema kwmb ubongo unauwezo wa kuhifa kumbukumbu kuliko computer pamoja na kung'amua mambo
Mkuu niliamua kuku follow humu jf
I need a starting point
I want to know the reality
Coz kuna mambo nikifikiria na nikiunganisha dot naona there's something unusual
 
kabsaa mkuu...there is unusual event inayoendelea ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Theort tu hizo, Mungu muumba aliifanya dunia hii kwa ustadi sana kilaaaaa siku tunaambiwa dunia itagongana wee lakini hayatokei
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom