Je, Tozonia laweza kuwa jina zuri mbadala wa jina Wanyonge?

Mr faru john

Senior Member
Dec 22, 2016
173
298
Hello Bandugu.

Baada ya msanii Nay the true boy kuja na wimbo wake, kugusa baadhi ya Mambo ambayo yanakera wananchi sana hususan 'WANYONGE' je ni sahihi kwa jina hili la 'Tozonia'?

Nilishawahi kusema nchi hii ni tajiri namaanisha Tanzania ni tajiri sana, hata mwenda zake ilikuwa ni kauli yake kuu 'NCHI HII NI TAJIRI' kosa kubwa ni kwamba utajiri waliokuwa wakiuhubiri sii mbuga za wanyama, sii madini,sii bahari, maziwa, Mito, misitu, Milima laaa Utajiri wanao uzungumzia ni kile Watanzania walichonacho, Pesa na Mali ya Mtanzania mmoja mmoja

Katika mtazamo huu, ndipo TOZONIA imezinduka kutoka usingizini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom