Ndio inaambukizwa na mbu Aina ya aedes ambao hubeba vimelea wadogo (microfillaliae) kutoka kwa muathirika mmoja na kumpa mtu mwingine specie zinazobebwa ni (wucherelia bancrofti, brugia malayi na brugia timori).Tiba ya busha ni upasuaji, tiba ya matende sijawai sikia nachojua ipo kinga yake. Dalili za magonjwa yote ni uvimbe sehemu husika,kwenye busha korodani zitajaa maji na maumivu kiaisi na upande wa matende miguu itavimba na kuwa mizito.
Kuhusu mbu kuambikiza sina hakika japo nilisikia miaka 5 iliyopita.
Asante kwa elimu.Ndio inabukizwa na mbu Aina ya aedes ambao hubeba vimelea wadogo (microfillaliae) kutoka kwa muathirika mmoja na kumpa mtu mwingine specie zinazobebwa ni (wucherelia bancrofti, brugia malayi na brugia timori)