athumanishapu
Member
- Oct 25, 2017
- 71
- 51
Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Nahitaji ramani pia
Nahitaji ramani pia
Choo, bafu, diningUkiongelea "KILA kitu ndani" unamaanisha Nini mkuu?
Jiko, dining, chooUkiongelea "KILA kitu ndani" unamaanisha Nini mkuu?
Kwa nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu vya 3.5m*3.5m yanatosha ila inategemea na ukubwa wa msingi wa hiyo nyumba kutokana na mazingira ya eneo husika, maana matofali ya msingi yanalazwa (kama msingi mrefu yatatumika mengi) wakati matofali ya juu ya msingi ni ya kusimamisha tu (kuna baadhi ya vibopa na nyumba za serikali wanalaza pia).Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Naitaji ramani pia
Ramani ninayo, kama utahitaji ni Tshs 150,000/=Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Naitaji ramani pia
3D image ndio hio..Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Naitaji ramani pia
Mhhhh hatari hiyoRamani ninayo, kama utahitaji ni Tshs 150,000/=
Hiii ramani ni zaidi ya tofali 2800
Ramani ninayo, kama utahitaji ni Tshs 150,000/=
Sasa mimi unanikatisha vipi tamaa mkuu?Unaenda mbali sana, ramani siku hizi tunapata kwa 10K...
🤣🤣 Huyu ni graduate archtecture sasa lecturer wake usikute kamwambia uki graduate unaweza kujiajiri chorea watu floor map @150kUnaenda mbali sana, ramani siku hizi tunapata kwa 10K...
Ramani ni muhimu sana katika ujenzi na gharama zake kwa mtaalamu anayejielewa haipungui 500k.Unaenda mbali sana, ramani siku hizi tunapata kwa 10K...
Ramani ni muhimu sana katika ujenzi na gharama zake kwa mtaalamu anayejielewa haipungui 500k...
Eneo ni Dar, chanika lengo nahitaji nyumba yenye vyumba 3, vyumba 2 vya kawaida na master 1, jiko, dining, chooKabla ya kujua kuwa zinatosha au la,ulitakiwa utupe maelezo ya eneo unalotarajia kuanza ujenzi,na mkoa...