All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,563
Umenipa Elimu Bora SANANyumba ya vyumba vitatu kwa wastani ina urefu wa mita 15 na upana mita 10. So mzingo ni kama (15x4) + (10x4) = 100 meter.
Hii ina maana kuta zote za nyumba ukizijumlisha na kuziweka kwenye mstari mnyoofu zitachukua urefu wa mita mia. Kila mita ina kula tofali mbili. Nyumba itahitaji urefu wa tofali kumi. So kwa ujumla matofali yatayotumika ni 100x2x10 = 2,000. Kwa kusimamisha.
Uki adjust uwepo wa milango na madirisha, 2,000 x.75 = 1,500.
Iwapo msingi zitaingia kozi 6 kwa wastani, 100x6x2 = 1,200.
So 1,500 + 1,200 = 2,700.
Hapo kuna kozi tatu baada ya linta: 100×2×3 = 600.
In total utahitaji tofali around 3,300.
ASANTE
Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app