Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

Kwa Dar hapana kwa kweli, ila Mbeya hapo ndo mtakojoleana had kwenye meno. Baridi letu lina raha yake aisee
Yani Nina kipururu changu cha maana joto linizuie kuchakata mbususu,kwa kweli na joto hili la dar kuwe na feni kusiwe na feni bila kumsukumia mtu vitatu(hat trick) simuachii joto kitu gani bana kwenye kupunguza gundi.
 
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima

Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike;

Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana juzi usiku

Wana vikoba: Kwanini?

Mama mmoja: Mimi na mume wangu uwaga hatuzimi taa, sasa jana tuko bize mara umeme huooo ukakatika, stimu ikashuka, tukajaribu kununua umeme kwa simu ukakataa basi na shoo ikaisha. Mpaka sahivi nipo na maupwiru hata kazini sijaenda nimenunaje?

Swali:
Je, tendo la ndoa haliwezi fanyika mpaka umeme uwake?
mshamba_hachekwi Half american EvilSpirit
 
Back
Top Bottom