Je Teknohama inanizunguka??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Nimimi peke yangu au wote mwenzenu natafuta sehemu yakuchat na fl,preta,big mama,the finest,who care,katerelo,Rose 1980,bujibuji japo yupo bize na maswala ya uchaguzi,Nyani ngabu najua yupo begakwabega kule kwenye jimbo la nyamagana kuakikisha ushindi nilazima,Ndibalema najua anashughulikia maswala ya jimbo la nkenge,MS najua alikuwa busy na watu wausalama kuakikisha ccm inashinda!nawengine ambao sijawataja kwakukosa mahalipakuandika maana nafasi niliyopewa imeisha!Sasa niambieni au ile kura ya VETO ilipitishwa kwamba haina haja yakuweka chat room kwakuwa watu wanashindwa kujadili mambo ya mstakabali wataifa letu!Nijuzeni au teknohama inanizunguka??:sad:
 
Back
Top Bottom