Je TCU watatoa lini Matokeo ya diploma holder kwenda digrii awamu ya nne?

RUBYA 455

Member
Oct 6, 2016
53
11
Habari wana jf,

Naomba kuuliza TCU wanatoa lini matokeo ya wenye diplama kwenda degree raundi ya nne maana siku zinaenda wenzetu wanaendelea kusoma......
 
Duuuuh kama Hajatoka now Bora Uahirishe tu...

Maan Hata ukienda Mkopo nao Huna
 
Hivi naeza nikafanya transfer wakati nmeshasajiliwa katika Chuo ambacho nataka kuhama?
 
Back
Top Bottom