Je tayari tunakaribia kutimiza andiko hili?

ThaGreatman

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
708
1,465
Isaya 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Maana kwa kadri siku zinavyokwenda wanaume waoaji wanapungua kwa kasi sana,wakati waolewaji wanaongezeka!

Imefika mahali,mdada ukimwambia nitakuoa,hakika utajuta,wapo wanaodiriki kujilipia mpaka mahari,kugharamia harusi na hata kuwahudumia waume/wachumba zao ili kukamilisha adhma yao ya ndoa!

Ni nini tatizo kwa kizazi hiki?
Au ndo maandiko yanatimia kama yalivyotabiri katika kitabu cha Isaya 4:1!?
 
Nasubiri wanawake waseme 'kutuma pesa ni umama' ili wanaume tupumzike
Anyway Mkuu hao wanawake wanaolipa mahari na kumtunza mwanaume wako mkoa gani?
 
Sir Khan kule kwenu India si ndiko wanawake wanalipa mahari!
 
Wanawake now days wamekuwa sio big deal Tena.. hata ukioa badala ya furaha karaha, visa, choyo, kununiana.
Sasa unajiuliza umeoa ili uone vituko au?
 
Isaya 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Maana kwa kadri siku zinavyokwenda wanaume waoaji wanapungua kwa kasi sana,wakati waolewaji wanaongezeka!

Imefika mahali,mdada ukimwambia nitakuoa,hakika utajuta,wapo wanaodiriki kujilipia mpaka mahari,kugharamia harusi na hata kuwahudumia waume/wachumba zao ili kukamilisha adhma yao ya ndoa!

Ni nini tatizo kwa kizazi hiki?
Au ndo maandiko yanatimia kama yalivyotabiri katika kitabu cha Isaya 4:1!?
Changamoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom