ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,465
Isaya 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Maana kwa kadri siku zinavyokwenda wanaume waoaji wanapungua kwa kasi sana,wakati waolewaji wanaongezeka!
Imefika mahali,mdada ukimwambia nitakuoa,hakika utajuta,wapo wanaodiriki kujilipia mpaka mahari,kugharamia harusi na hata kuwahudumia waume/wachumba zao ili kukamilisha adhma yao ya ndoa!
Ni nini tatizo kwa kizazi hiki?
Au ndo maandiko yanatimia kama yalivyotabiri katika kitabu cha Isaya 4:1!?