Je Tax Exemptions ni kwa ajili ya Taifa au baadhi ya viongozi


A

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
4,645
Likes
803
Points
280
A

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
4,645 803 280
Kwa muda nime kuwa nafikiria kuhusu suala la tax exemption na mambo yanavyo kwenda nchini, kama tulivyo elezwa hivi karibuni kuhusu makampuni makubwa kutolipa kodi , kama VODa ambapo rostam yupo Elinino Yumo wengine kama Msekwa alipata kuwa mwenyekiti wa Bodi,Watoto wa baadhi ya viongozi wapo, Cocacola, Hotel za Kitalii na kwenye Sekta ya madini.
suala la kujiuliza na ukihusisha mahusiano ya hayo makampuni, tunaona ni kwamba ni hatua au njama za maksudi ya baadhi ya viongozi kujipatia mitaji kwa mgongo wa wa tanzania wote kwa ujumla wetu. na bahati mbaya kuna baadhi ya wabunge wanapitisha hii miswada bila kujua madhara yake na ni kwa faida ya nani.
Naomba tujadili hili kwa faida ya nchi yetu, na kama hii mada inafaa kuwekwa katika fungu lolote naomba kwa muda iache hapa kwa faida yetu
 
Mack Wild

Mack Wild

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Messages
4,912
Likes
3,280
Points
280
Mack Wild

Mack Wild

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2013
4,912 3,280 280
ngoja waje mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,237,610
Members 475,662
Posts 29,294,343