Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime
Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana.
Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana mpaka Sasa nimeshajaribu zaidi ya USB Cable tano Lakini sijafanikiwa.