Je, tatizo ni USB Cable au ni Simu?

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime

Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana.

Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana mpaka Sasa nimeshajaribu zaidi ya USB Cable tano Lakini sijafanikiwa.
 
Nilijaribu kuingiza zile code kwenye browser mpka inaniletea sehemu ya kuscan lakini sikufanikiwa, Sasa SIJUI nilikosea wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom