Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,762
- 8,640
Habari wanajamvi, bila kupoteza muda niingie kwenye maada husika
Siku za hivi karibuni vijana Baadhi ya wanawake wamejivua utu wao na kuanza kujihusisha kimapenzi na vijana wadogo wengine kwa umri walitakiwa kuwa watoto wao(Naongelea serengeti boys na sugar mumys), sababu zipo nyingi za wao kufanya hivyo ikiwemo kutoridhishwa na waume zao wengine wanataka faraja kwa hao vijana wakidai kuwa ni wapweke labda baada ya kuondokewa na waume zao lakini wangine wanataka kujigeuza vichwa vya nyumba.
Na kwa sababu mara nyingi wanawake wenye hulka hizo za kupenda serengeti boys kiuchumi wanajiweza hivyo vijana hufanya kila jitihada ili waweze kuwaridhisha wa kina mama hao ili wasipoteze ajira yao hivyo wamejikuta wakitumia madawa mbali mbali ili kuongeza nguvu za kiume na kuongeza maumbile yao ya kiume ili waweze kunata na beat. Imefika kipindi wanawake wanaomba talaka au wanaleta vimbwanga kwa waume zao ili wapewe talaka ili wafanye yao na serenget boys kwa raha bila bugdha yoyote hapa nina mfano hai kuna mama mtu mzima ambaye alikuwa ni mke wa pili kwa mzee mmoja jirani na ninapoish ameomba talaka, wakt huo huo mchepuko wake ni kijana mdogo sana jamaniii!!!
Hoja zangu za msingi:
1. Imekuaje wanawake mmejivua utu kwa sababu ya tamaa za mwili tuu kwa sababu siamini kama kuna mapenzi hapo, umemzidi mwanaume miaka kumi maana yake umemzidi kila kitu kiakili, kiuchumi tatzo ni nini hasa?
2. Je chanzo ni wanaume kutotimiza haja za miili yenu? je hawa vijana ambao wanatumia madawa ili kuridhisha nafsi zenu hamuoni miaka ya mbeleni huko binti zenu hawatakuwa na wanaume wenye nguvu za kutosha na itakuwa chanzo kikubwa usagaji miaka ya baadaye?
3. Au ndo huu utandawazi unafanya yake watu hawajali lolote, Mungu wamemuacha nyuma?
Naomba tujikite katika maada, tusishambuliane sisi kwa sisi tukatoka nje ya maada, tujitahidi kuheshimu mawazo ya mtu. Asante
Nawasilisha hoja