Je tatizo bidhaa za kichina au wafanyabiashala

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Nchi nyingi hasa za dunia ya tatu tunategemea bidhaa za china hivyo bidhaa za china zimeshika masoko yetu.hapa tatizo ni wafanyabiashala wengi wanapenda faida kubwa hivyo hupenda kuagiza bidhaa za bei ndogo.
 
China kwa sasa ni malufu sana duniani kutokana na uchumi wake unakua kwa kasi sana.pia husambaza bidhaa zao duniani kwote japo hutofautiana mana huku kwetu africa bidhaa zinazo kuja ni tofauti na zile zinazouzwa mf usa uk ufarans nk.wanaoweza kumudu bei ya vitu ambavyo ni ghali sana africa ni wachache sana ndio mana wafanyabiashala huagiza kulingana na kipato cha wanunuzi
 
Back
Top Bottom