Je, Tanzania tunaumiliki mlima Kilimanjaro kama USA wanavyomiliki Gand Canyon?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,257
2,000
Ml.Kili kijiografia uko ndani ya mipaka ya nchi yetu, Je pia tunaumiliki huu Mlima au unamilikiwa na Dunia?

Je, tuna uamuzi wowote ule kuhusiana na huu Mlima?
Tuna datas zozote kuhusu Historia yake, Geology yake au hata tu hati miliki ya hilo eneo?
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
Kwanini isiwe hivyo mkuu??HII NI SAWA UNA MKE ILA HUNA UMILIKI WAKE??HII NI AJABU
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Ml.Kili kijiografia uko ndani ya mipaka ya nchi yetu, Je pia tunaumiliki huu Mlima au unamilikiwa na Dunia? Je tuna uamuzi wowote ule kuhusiana na huu Mlima? Tuna datas zozote kuhusu Historia yake, Geology yake au hata tu hati miliki ya hilo eneo?
Kama kuna makinikia basi ujuwe unamilikiwa na acacia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom