Je! Tanzania tuna waandishi wa habari au mapaparazi?

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Kwa wale wanaojua au kufahamu mwandishi wa habari ni nani na paparazi ni nani anaweza kunisaidia na kunipa mfano halisi wa huyo mwandishi au paparazi
 
Mwulize mheshimiwa rais mstaafu atakuambia kama tuna waandishi wa habari ama tuna nini
 
Pia katika hao waandishi kuna makanjanja......Paparazi is the freelance photographer who pursues
celebrities to get photographs of them
 
Back
Top Bottom