Comi JF-Expert Member Oct 2, 2011 3,328 955 Nov 29, 2012 #1 Kwa wale wanaojua au kufahamu mwandishi wa habari ni nani na paparazi ni nani anaweza kunisaidia na kunipa mfano halisi wa huyo mwandishi au paparazi
Kwa wale wanaojua au kufahamu mwandishi wa habari ni nani na paparazi ni nani anaweza kunisaidia na kunipa mfano halisi wa huyo mwandishi au paparazi
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Jun 3, 2011 12,358 6,422 Nov 29, 2012 #2 Comi said: Kwa wale wanaojua au kufahamu mwandishi wa habari ni nani na paparazi ni nani anaweza kunisaidia na kunipa mfano halisi wa huyo mwandishi au paparazi Click to expand... Define mapaparazi
Comi said: Kwa wale wanaojua au kufahamu mwandishi wa habari ni nani na paparazi ni nani anaweza kunisaidia na kunipa mfano halisi wa huyo mwandishi au paparazi Click to expand... Define mapaparazi
Comi JF-Expert Member Oct 2, 2011 3,328 955 Nov 29, 2012 Thread starter #3 CHUAKACHARA said: Define mapaparazi Click to expand... ndiyo nataka kujua ndugu
Iron Lady JF-Expert Member Mar 4, 2008 4,071 1,363 Nov 29, 2012 #4 waandishi wa habari si ndio saa nyingine wanawaita mapaparazi?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Jun 3, 2011 12,358 6,422 Nov 29, 2012 #5 Comi said: ndiyo nataka kujua ndugu Click to expand... Swali lako haliwezi kujibiwa bila ku-define the two terms, vinginevyo you will not have a reference point to base your argument
Comi said: ndiyo nataka kujua ndugu Click to expand... Swali lako haliwezi kujibiwa bila ku-define the two terms, vinginevyo you will not have a reference point to base your argument
bornagain JF-Expert Member Jan 25, 2012 3,383 1,354 Nov 29, 2012 #6 Mwulize mheshimiwa rais mstaafu atakuambia kama tuna waandishi wa habari ama tuna nini
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,643 68,586 Nov 29, 2012 #8 Pia katika hao waandishi kuna makanjanja......Paparazi is the freelance photographer who pursues celebrities to get photographs of them
Pia katika hao waandishi kuna makanjanja......Paparazi is the freelance photographer who pursues celebrities to get photographs of them