Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?.

Watakwambia amekubali kwa shingo upande
Ni kwa shingo upande kwa kuwa si msimano wake.

Ni upumbavu wa hali ya juu kuwakataza watoto waliopewa mimba wasirudi shule kuendelea masomo yao.

Kuna watoto wengi wamebakwa na walimu wao vile vile. Hawa wanatakiwa kusaidiwa zaidi kisaikolojia.

Msimamo wa Benki ya Dunia ni kwa ajili wa haki ya watoto. Ni msimamo sahihi.

Viongozi wenzake wameshindwa kumlazimisha pamoja na kuwa na elimu mbali mbali.

Mpaka akaja mzungu kutuelimisha umuhimu wa kusomesha hawa watoto.
 
Hawa viongozi tulio nao kwa sasa sijui kipaumbele chao ni nini kama taifa,
Ni kwa shingo upande kwa kuwa si msimano wake.

Ni upumbavu wa hali ya juu kuwakataza watoto waliopewa mimba wasirudi shule kuendelea masomo yao.

Kuna watoto wengi wamebakwa na walimu wao vile vile. Hawa wanatakiwa kusaidiwa zaidi kisaikolojia.

Msimamo wa Benki ya Dunia ni kwa ajili wa haki ya watoto. Ni msimamo sahihi.

Viongozi wenzake wameshindwa kumlazimisha pamoja na kuwa na elimu mbali mbali.

Mpaka akaja mzungu kutuelimisha umuhimu wa kusomesha hawa watoto.
 
KWA WALE MSIO IJUA TANZANIA VIZURI SOMENI KWA MAKINI UTAJIRI WA TANZANIA HALAFU JIULIZE KWA NINI NI MASIKINI WA MWISHO NA MALI ZOTE HIZI

1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 57
tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza afrika
mashariki.

2.Tz Kwa miaka 57 hii inchi imeongozwa na ccm
peke yake ambayo ni zao TANU na ASP.

3.Tz ni nchi ambayo hajawahi kupata majanga
makubwa kama matetemeko ya ardhi,magonjwa
ya mlipuko kama ebola,mafuriko na vimbunga au
ukame.

4.Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho
nnchi za Africa zimekikosa AMANI kwa miaka
yote 54 ya uhuru hajawahii kupigana vita vya
wenyewe kwa wenyewe.

5.Tz ina ukubwa ukubwa wa 945,000 km square
yani sawa na uchukuwe Denmark,France,United
kingdom(uk),Netherland,Ireland ujumlishe zote
kwa pamoja.

6.Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424
kilometers bahari inaleta fursa za usafirishaji,uv
uvi,utalii na nyinginezo.

7.Tz ni nnchi ambayo imepakana na nchi za
(Uganda,Rwanda,Burundi,Zambia,Malawi,Drc
congo) ambazo zinategemea bahari yetu kwa
usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya
kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu

8. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine
madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora
za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu
yote yapo Tanzania..Ziwa Victoria ni la tatu kwa
ukubwa duniani(la kwanza afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa(la pili afrika)
na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu
duniani.Ziwa nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani
(ni la tatu afrika).

9.Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto
kagera,mto Ruvuma,mto rufiji,mto wami,mto
maragarasi,mto mara,mto pangani,mto mara,mto
gombe,mto mweupe wa nile.na ina mito midogo
mengi kama mto kilombero,mto mbemkuru n.k

10.Tz ndiyo nchi ya kwanza afrika kuwa na maji
mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso
wa dunia(fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde
la ufa.

11.Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu
afrika baada ya afrika kusini,ghama na mali na
ipo top 20 duniani.
Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na
miwili imefungwa.
migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine-
(Shinyanga),Geita gold mine-(Geita),Golden pride
gold mine-Nzega(tabora),Bulyanhulu gold mine-
(Shinyanga).New leuka Gold mine-(Mbeya),
Tulawaka gold mine-(kagera),North mara gold
mine-(mara).Iliyofungwa ni Kirondatal gold mine-
(Shinyanga),Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12.Tz ina madini ya almasi yanayopatikana
mwadui shinyanga mgodi huo umeanzwa
kuchimbwa tangu mwaku 1940 mbaka leo ado
unachimbwa,unamilikiwa nakampuni ya
wingereza.

13.Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee
inayozalisha madini ya tanzanite duniani.mkufu
wa kuva shingoni unatengenezwa na tanzanite na
almasi unauzwa hadi milioni 25 za kitanzania.

14.Tz ina madini ya chuma yanayopatikana
mchuchuma,ludewa- njombe mgodi unamilikiwa
na wachina mgodi huo una hifadhi ya madini ya
chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa
kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15.Tz ina madini ya makaa ya mawe
yanayochimbwa kule kiwira mbeya,mchucuma na
liganga njombe unamilikiwa na wachina pamoja
na ngaka kule mbinga-ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya tancoal ya Australia.hifadhi ya
madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni
2.makaa yam awe ndio chanzo cha pili ya
umeme wabei nafuu duniani baada ya maji.

16.Tz ina hifadhi ya madini ya uranium kule
Dodoma(bahi) na mgodi ambao unamilikiwa na
warusi pia madini haya yanapatikana pia
Namtumbo (Mkuju),Galapo, Minjingu, Mbulu,
Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea,
Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17.Tz ni moja ya nchi tatu Africa pamoja
Zimbabwe na madagascar kwa kuwa madini
mengi ya graphite madini haya yapo
Tanga,Mahenge-Morogoro,mererani-
manyara.Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu,kwenye injini na
brake za gari na kwenye karamu ya risasi
(pencili)

18.Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule
kabanga kagera,milima ya ulurugulu-morog
oro,north mara,Ngasoma-mwanza.

19.Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na
hifadhi kubwa ya magadi soda mengi duniani
baada ya marekani na uturuki.magadi soda
hutumika kutengeneza vioo vya aina zote vyo
nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na
dawa mbalimbali za usafi

20.Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium
uliopo Panda hill mbeya ambao ndio utakuwa
mgodi mkubwa wa kwanza Africa na wanne
duniani,mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya
uastralia.Madini ya nibioum ni magumu sana
hutumika kutengeneza mabomba pamoja na
madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi
ya sehemu za injini za ndege na vyombo
vinavyoenda nje ya uso wa dunia,vioo vya
computer na lenzi za camera.

21.Tz ni nchi ya kwanza Africa na ya pili duniani
kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii duniani ya
kwanza ikiwa brazil. Nchi zilizokuwa kwenye tano
bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana,
Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22.Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga
maarufu kuliko zote duniani Serengeti na mbuga
iliyopakana na bahari saadani na mlima mrefu
kuliko wote Africa Kilimanjaro.

23.Nadhani kila mtz anajua juu ya sifa ya
Tanzania kwenye swala ya kuwa na ardhi ya
rutuba inayofaa kwa kilimo

24.Tz ina gesi ya asili ya carbon dioxide(CO2)
inayovunwa kule kyejo,rungwe-mbeya na
kampuni ya TOL,gesi ya asili ya cardon dioxide
inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama
soda,bia, na pia kutengenezea madawa,kwenye
viwanda vya makaratasi na kutibia maji.

25.Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika
kisiwa cha songo songo mkoa wa lindi gesi hii
imekuwa ikichimbwa na kusafirisha Dar as
salaam tangu mwaka 2004 na inayomilikiwa na
kampuni ya songas ya uingereza

26.Tz imengundua gasi ya asili yenye ujazo wa
zaidi ya trioni 55.3 cubic meter iliyongungulika
katika maeneo ya bahari ya lindi na mtwara.
Pamoja na sifa zote hizi Lakini Tz ni nchi
iliyokwenye kundi la nchi maskini duniani ambao
asilimia kubwa ya raia wanaishi chini ya dola
moja na hali ya huduma za kijamii zikiwa duni.

TATIZO NI NINI?NI NANI ALIYESABABISHA HUU
UMASKINI WA TAIFA HILI?......
Nchi haihitaji rasilimali ya ardhi kuwa na tajiri.

Mfano hai: Singapore. Japan. Taiwan.
 
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu, za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo nikihoji kuu umasikini wa Tanzania yetu na kupokea mikopo na misaada yenye masharti.

Naomba nianze kwa nukuu ya Mwalimu Nyerere kuwa "Umasikini mkubwa kabisa na mbaya kabisa, ni umasikini wa fikra" "poverty mentality"
Mwalimu akimaanisha kuwa umasikini mkubwa zaidi na mbaya zaidi, ni ukiwa na mawazo ya kimasikini.

Hivyo hoja kuwa Tanzania ni nchi masikini ni hoja muflisi kwa watu waliofilisika kimawazo, hivyo kitendo cha kuita nchi yetu kuwa nchi masikini, kunapalekea sisi kujisikia wanyonge.

Ukweli halisi kuhusu Tanzania, sio nchi masikini and has never been a poor county kwa sababu Tanzania ni nchi tajiri kwa utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, madini, maliasli, mifugo, samaki, udongo wenye rutuba, vyanzo vya maji, vivutio vya utalii etc.

Kama Tanzania tuna utajiri wote huu, kwa nini nchi yetu bado ni masikini?. Naomba mimi nisilijibu swali hili, japo nakijua chanzo cha umasikini huu wa taifa letu, nisije nikachafua hali ya hewa ya bandiko hili.

Ndio maana, Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli alipoingia tuu madarakani aliposema Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri na soon tutakuwa a Donner country wengi wetu tulimuunga mkono na kumpongeza.

Ila pamoja na utajiri wote huu tulionao, Tanzania bado hatujaweza kujitegemea na kujitosheleza, hivyo bado tunategemea misaada toka nchi wafadhili na Mashirika yao ya misaada na mikopo, likiwemo Shirika la IMF na World Bank.

CNN walipotangaza uongo huu,
CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns - JamiiForums

mimi ni miongoni mwa watu tulipinga na kushauri
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Hivi kweli Tanzania ni masikini ki hivi hadi tupokee mikopo ya masherti hivi, na masherti mengine ni ya udhalilishaji wa uhuru wetu na viongozi wetu?.

Namalizia kwa hili swali,
Jee Tanzania ni Masikini Hivi Hadi Tuendelee Kupokea Mikopo na Misaada Yenye Masharti Kwa Ajili Tuu ya Umasikini Wetu, Au Tufike Mahali Tuwe Masikini Jeuri, Tukatae?

Wasalaam
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Haujui kuondoa umasikini kwatampunguzia sifa rais wa wanyonge na masikini? Wakati wenzako wanaona fahari kama ni kigezo cha utawala bora kuwatumikia masikini wewe unahoji! Lakini pia wananchi wenyewe wameikubali sifa ya kuitwa masikini kuwa ni kigezo cha wao kupata upendeleo kwenye kutatua matatizo yao ambavyo yalipaswa kutatuliwa bila kutoa shukurani, kama vile ujenzi wa barabara, shule, hosipitali, kupatiwa maji safi na salama na maeneo ya kufanyia biashara.
Unapokuta wananchi wanatoa shukurani kuwa serikali imetuona masikini kwa kutujengea shule ujue kuna kasoro kubwa; Huo ni wajibu wa serikali kutumia pesa za wananchi wake kwa kazi hizo na si kuzipeleka nje ya nchi kuchezea kamari.
Wakati umefika sasa kwa wananchi kuona umasikini si sifa nzuri kwa kiongozi wao kuitumia dhidi yao.
 
Jibu zuri sana Mr Tokyo
Hawa jamaa hawazalishi kahawa lakini tunakunywa kahawa first class ya aina ya arabica ya Kilimanjaro na Bukoba.

Wao wanakuja huko, wananunua kilo $2 kwa mkulima halafu wanafanya packaging huku na kutuuzia kwenye lebo zao za " Kilimanjaro" kwa $30.

Utajiri ndio huo.
 
Sisi kwetu ni mikhemuko na mikurupuko tu
Hawa jamaa hawazalishi kahawa lakini tunakunywa kahawa first class ya aina ya arabica ya Kilimanjaro na Bukoba.

Wao wanakuja huko, wananunua kilo $2 kwa mkulima halafu wanafanya packaging huku na kutuuzia kwenye lebo zao za " Kilimanjaro" kwa $30.

Utajiri ndio huo.
 
Pia mbaya tuna kiongozi ambae hataki kusafiri kwa baadhi ya safari ( zenye tija) zakukutana na wenzake na kujua dunia ilipofikia maana kama kusafiri huko duniani alienda kitambo na madiliko ya kila nyanja yameisha tokea mengi ukitoa visafari vyake kwa majirani ambao kama tupo sawa tu.

Nina mfano wa ajabu kidogo lakini una akisi maisha yetu ya kila nyanja na kiwango cha maendeleo, niliwahi kubahatika kutoka nje ya bara letu hili tukufu wakati naanza kutoka hapa Airport yetu sikuona tofauti ‘was first time ‘ siku ya kurudi tunapokaribia kutua kuangalia chini nakutana na mapaa ‘roofs’ zimechoka balaa haya naingia Airport ni joto na vyoo vichafu na urasimu wa kila aina, niliuona umasikini wetu kwa macho makavu na niliwalaumu sana wanasiasa wetu kiukweli wanatuzuga tu, kutokea hapo naangalia yangu na familia yangu ili tuweze ku ‘survive’ viongozi wetu bado hawana utashi huo wa kututoa hapa tulipo inahitajika vision na collective responsibility kama Taifa sio ‘one man show’
Hyo ya airport yetu na mabati yenye kutu ya nyumba zisizokuwa na mpangilo ni experince ambayi hata mimi nlikutana nayo wakati narudi bongo kwa mara ya kwanza,mbaya zaidi huko nlikotoka vituo vya metro tu viko vizuri kuliko hii airport yetu ya 'kimataifa'.
 
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu, za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo nikihoji kuu umasikini wa Tanzania yetu na kupokea mikopo na misaada yenye masharti.

Naomba nianze kwa nukuu ya Mwalimu Nyerere kuwa "Umasikini mkubwa kabisa na mbaya kabisa, ni umasikini wa fikra" "poverty mentality"
Mwalimu akimaanisha kuwa umasikini mkubwa zaidi na mbaya zaidi, ni ukiwa na mawazo ya kimasikini.

Hivyo hoja kuwa Tanzania ni nchi masikini ni hoja muflisi kwa watu waliofilisika kimawazo, hivyo kitendo cha kuita nchi yetu kuwa nchi masikini, kunapalekea sisi kujisikia wanyonge.

Ukweli halisi kuhusu Tanzania, sio nchi masikini and has never been a poor county kwa sababu Tanzania ni nchi tajiri kwa utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, madini, maliasli, mifugo, samaki, udongo wenye rutuba, vyanzo vya maji, vivutio vya utalii etc.

Kama Tanzania tuna utajiri wote huu, kwa nini nchi yetu bado ni masikini?. Naomba mimi nisilijibu swali hili, japo nakijua chanzo cha umasikini huu wa taifa letu, nisije nikachafua hali ya hewa ya bandiko hili.

Ndio maana, Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli alipoingia tuu madarakani aliposema Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri na soon tutakuwa a Donner country wengi wetu tulimuunga mkono na kumpongeza.

Ila pamoja na utajiri wote huu tulionao, Tanzania bado hatujaweza kujitegemea na kujitosheleza, hivyo bado tunategemea misaada toka nchi wafadhili na Mashirika yao ya misaada na mikopo, likiwemo Shirika la IMF na World Bank.

CNN walipotangaza uongo huu,
CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns - JamiiForums

mimi ni miongoni mwa watu tulipinga na kushauri
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Hivi kweli Tanzania ni masikini ki hivi hadi tupokee mikopo ya masherti hivi, na masherti mengine ni ya udhalilishaji wa uhuru wetu na viongozi wetu?.

Namalizia kwa hili swali,
Jee Tanzania ni Masikini Hivi Hadi Tuendelee Kupokea Mikopo na Misaada Yenye Masharti Kwa Ajili Tuu ya Umasikini Wetu, Au Tufike Mahali Tuwe Masikini Jeuri, Tukatae?

Wasalaam
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Nyerere ni Baba wa Taifa hili. Tunamheshimu sana na kumpenda kutokana na dhamira yake njema kwa Taifa na watu wake.

Mwalimu Nyerere alifanikiwa sana katuka siasa LAKINI MWALIMU ALIFELI KABISA KATIKA UCHUMI. Tumwige Mwalimu Nyerere katika mambo mengine lakini siyo katika uchumi.

Kwenye uchumi ilikuwa na dhamira njema, alikuwa na mipango na matamanio mazuri lakini alikosa mbinu.

Mwalimu mwenyewe aliwahi kusema kuwa akiwa madarakani kuna mambo walifanya vizuri, kuna mambo walifanya vibaya. Nina hakika, mabaya mengi yalikuwa katika uchumi. Na akatuasa kuwa tusiige yale ya hovyo bali tuoge yale waliyofanya vizuri.

Kiongozi na kama Taifa tunatakiwa kuwa na misimamo lakini tuwe na misimamo katika mambo sahihi. Siyo misimamo katika mambo ya kijinga.

Tunaambiwa tuzingatie misingi ya katiba yetu - haki za raia, uhuru wa maoni, uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia ya vyama vingi, haki ya kila mtu kupata elimu, sisi hatutaki kuyafuata haya. Tunapoambiwa kuwa tumepotoka, tunasema, ni lazima tuwe na misimamo. Msimamo gani? Msimamo wa kuvunja katiba yetu wenyewe? Lazima sisi tumepungukiwa hasa.

Mimi nayashukuru sana Mataifa haya yaliyopaza sauti juu dhidi ya kuanza kupotea kwa Taifa letu katika mambo ya msingi. Sauti za ndani pekee yake hazitoshi, zinahitajika na za nje. Tunaomba sana hizi sauti za nje ya mipaka ya nchi yetu ziongezeke ili Taifa liongozwe kwa kufuata katiba na watawala waitafute hekima ambayo kwa kiasi kikubwa imetoweka ndani ya muda mfupi.

Ukaburu SA ulitoweka baada ya sauti za wanaSA, Waafrika na Dunia nzima. Waafrika weusi pekee yao walishindwa.

Tanzania ni maskini sana, na haijawahi kuwa tajiri na mpaka sasa haijawa. Utajiri mkubwa wa mtu au nchi upo kwenye vichwa na siyo kwenye ardhi. Utajiri wa nje ya kichwa chako ni utajiri wa Mungu. Walio matajiri kichwani hata kama ardhi yao ikakosa maji mahali popote lakini bado watapata maji ya kutosha na mazuri. Ukiwa maskini kichwani, hata kama mto ukawa mita 500 toka unapoishi, kuna siku utashindwa hata kuoga kwa sababu maji yameishi kwenye ndoo.
 
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu, za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo nikihoji kuu umasikini wa Tanzania yetu na kupokea mikopo na misaada yenye masharti.

Naomba nianze kwa nukuu ya Mwalimu Nyerere kuwa "Umasikini mkubwa kabisa na mbaya kabisa, ni umasikini wa fikra" "poverty mentality"
Mwalimu akimaanisha kuwa umasikini mkubwa zaidi na mbaya zaidi, ni ukiwa na mawazo ya kimasikini.

Hivyo hoja kuwa Tanzania ni nchi masikini ni hoja muflisi kwa watu waliofilisika kimawazo, hivyo kitendo cha kuita nchi yetu kuwa nchi masikini, kunapalekea sisi kujisikia wanyonge.

Ukweli halisi kuhusu Tanzania, sio nchi masikini and has never been a poor county kwa sababu Tanzania ni nchi tajiri kwa utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, madini, maliasli, mifugo, samaki, udongo wenye rutuba, vyanzo vya maji, vivutio vya utalii etc.

Kama Tanzania tuna utajiri wote huu, kwa nini nchi yetu bado ni masikini?. Naomba mimi nisilijibu swali hili, japo nakijua chanzo cha umasikini huu wa taifa letu, nisije nikachafua hali ya hewa ya bandiko hili.

Ndio maana, Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli alipoingia tuu madarakani aliposema Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri na soon tutakuwa a Donner country wengi wetu tulimuunga mkono na kumpongeza.

Ila pamoja na utajiri wote huu tulionao, Tanzania bado hatujaweza kujitegemea na kujitosheleza, hivyo bado tunategemea misaada toka nchi wafadhili na Mashirika yao ya misaada na mikopo, likiwemo Shirika la IMF na World Bank.

CNN walipotangaza uongo huu,
CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns - JamiiForums

mimi ni miongoni mwa watu tulipinga na kushauri
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Hivi kweli Tanzania ni masikini ki hivi hadi tupokee mikopo ya masherti hivi, na masherti mengine ni ya udhalilishaji wa uhuru wetu na viongozi wetu?.

Namalizia kwa hili swali,
Jee Tanzania ni Masikini Hivi Hadi Tuendelee Kupokea Mikopo na Misaada Yenye Masharti Kwa Ajili Tuu ya Umasikini Wetu, Au Tufike Mahali Tuwe Masikini Jeuri, Tukatae?

Wasalaam
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Mkuu nataka nikuhakikishie tu , bado tuna njaa kali sana , ndo maana hata Magufuli ameamua kuwalilia tena hao wazungu , huwezi kumkwepa mzungu , sisi bado sana , la maana tujipange tu tujenge uwezo wetu tu ili tuweze kujitegemea
 
Paschal
Kuambiwa mtoto aliyepata mimba shule ni asi adhibiwe milele ni kudhalilishwa?
Afanalek watu waliowalawiti watoto wa kiume wamesamehewa na kufanyia dhifa Ikulu ni sawa lakini mtoto aliyetelezeshwa sio sawa kumsamehe
Cattle hearder mentality
Kwenye nchi ambayo bajeti ni trillion 33 ambayo ni ndogo sanalakini makusanyo ya TRA ni trillion17 unajivuna utajiri wa maliasili upi?
Mnara wa Effiel Tower,Paris unatembelewa na watalii million 17 kwa mwaka sisi na vyote tulivyo navyo ni watalii million moja na nusu tuu.
Tatizo watawala wanataka tubakie wajinga tusio na innovation,entrepreneurship wala vision yoyote zaidi ya kuwasifia kwa kila ujinga wafanyao
Nchi ambayo ukiwa tajiri mtawala anakuwa adui yako.
Pttyy
 
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu, za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo nikihoji kuu umasikini wa Tanzania yetu na kupokea mikopo na misaada yenye masharti.

Naomba nianze kwa nukuu ya Mwalimu Nyerere kuwa "Umasikini mkubwa kabisa na mbaya kabisa, ni umasikini wa fikra" "poverty mentality"
Mwalimu akimaanisha kuwa umasikini mkubwa zaidi na mbaya zaidi, ni ukiwa na mawazo ya kimasikini.

Hivyo hoja kuwa Tanzania ni nchi masikini ni hoja muflisi kwa watu waliofilisika kimawazo, hivyo kitendo cha kuita nchi yetu kuwa nchi masikini, kunapalekea sisi kujisikia wanyonge.

Ukweli halisi kuhusu Tanzania, sio nchi masikini and has never been a poor county kwa sababu Tanzania ni nchi tajiri kwa utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, madini, maliasli, mifugo, samaki, udongo wenye rutuba, vyanzo vya maji, vivutio vya utalii etc.

Kama Tanzania tuna utajiri wote huu, kwa nini nchi yetu bado ni masikini?. Naomba mimi nisilijibu swali hili, japo nakijua chanzo cha umasikini huu wa taifa letu, nisije nikachafua hali ya hewa ya bandiko hili.

Ndio maana, Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli alipoingia tuu madarakani aliposema Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri na soon tutakuwa a Donner country wengi wetu tulimuunga mkono na kumpongeza.

Ila pamoja na utajiri wote huu tulionao, Tanzania bado hatujaweza kujitegemea na kujitosheleza, hivyo bado tunategemea misaada toka nchi wafadhili na Mashirika yao ya misaada na mikopo, likiwemo Shirika la IMF na World Bank.

CNN walipotangaza uongo huu,
CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns - JamiiForums

mimi ni miongoni mwa watu tulipinga na kushauri
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Hivi kweli Tanzania ni masikini ki hivi hadi tupokee mikopo ya masherti hivi, na masherti mengine ni ya udhalilishaji wa uhuru wetu na viongozi wetu?.

Namalizia kwa hili swali,
Jee Tanzania ni Masikini Hivi Hadi Tuendelee Kupokea Mikopo na Misaada Yenye Masharti Kwa Ajili Tuu ya Umasikini Wetu, Au Tufike Mahali Tuwe Masikini Jeuri, Tukatae?

Wasalaam
Nawatakia Jumatatu Njema.
Paskali
Pasco your too selfish, umeamua kujitoa ufahamu ili ukumbukwe kwenye enzi? Sijaona ukizungumzia juu sheria zilizopitisha kukandamiza wafanyakazi kwenye mafao yao ya uzeeni sababu unajua ni ngumu kutetea huo upupu. Yule alishakuambia mayala maanake njaa anakujua hatokupa nafasi kamwe hata usifiaje
 
Ndugu Pascal hapa hakuna wa kumtafuta mchawi zaidi ya sisi wenyewe. Sisi sio masikini wa rasilimali wala fikra. Tuna mawazo mazuri sana na strategy nzuri za kuiendeleza nchi. Shida kubwa ni utekelezaji. Tunahangaika sana na siasa hasa za uchama kuliko kutekeleza mipango.
Hatuna msimamo kama nchi hasa kusimamia mawazo na mipango ya waliopita na kuyaendeleza. Pia hatujifunzi kutokana na makosa ya waliopita.
Suala la mikopo hata Marekani anakopa. Shida unakopa unatumiaje hapo ndio changamoto. Hatuwezi kupambana kiuchumi duniani bila mipango.
Na kamwe nasema kamwe tusijifananishe na nchi yoyote ile kwa umasikini wao au utajiri wao maana huu ndio mwanzo wa umasikini. Inabidi sisi kama sisi kujua tunataka kufika wapi kiuchumi na tutafikaje hapo kwa mipango inayotekelezeka. Hatuwezi kukaa tukasema bora sisi kuliko nchi fulani, tutaridhika na ndio mwanzo wa umasikini.

Narudia tena tatizo sio rasilimali wala fikra tatizo ni kusimamia sera na mipango inayotekelezeka yenye tija kwa manufaa ya wananchi wote.
 
Back
Top Bottom