Je Tanzania Kilimo kwanza na GreenHouse kwa small scale farmers Vipi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Tanzania Kilimo kwanza na GreenHouse kwa small scale farmers Vipi???

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Herbert, Oct 18, 2010.

 1. H

  Herbert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wadau waliopitia mambo ya kilimo sera za kilimo kwanza kwa undani Naombeni msaada kujua kama swala la kuwaelimisha wakulima wa kibongo juu ya greenHouses lipo na limepewa nafasi gani???

  Ndugu zetu hapo kenya wan huyu supplier Welcome to Amiran Kenya Ltd wa green houses na kuna ambazo zinaonekana kuwa wakulima wa kawaida wakiwezeshwa kupitia mfuko wa pembejeo wanaweza kuafidi sana badala ya kukomalia power tillers na matrekta pekee.

  Halafu please kama kuna mdau mwenye uelewa juu ya green house and tomatto cultivation especially in productivity, Aina ya mbegu, Lini mbegu zisiwe, Zipandwe ndani ya green house na mambo mengine yote ya muhimu yanayotakiwa ili kufanikisha uzalishaji wa nyaya ndani ya green house atupe somo hapa please.
   
 2. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  mtaalam wa kujenga greenhouse kwa hapa Tanzania anapatikana wapi?
   
Loading...