Je Tanzania itawezekana kupiga kura kwa kutumia SMS?


AirTanzania

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
1,139
Likes
705
Points
280
Age
33
AirTanzania

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
1,139 705 280
Tanzania ni moja ya nchi inayokuwa katika Soko la Mawasiliano (Telecommunication) na karibia kila mtu ana simu ya kiganjani. Kama tunaweza kutransfer pesa, kuangalia salio katika akaunti yako kwa nini tusiweze kupiga Kura kwa kutumia meseji (SMS) ili kuondokana na tatizo la kina Tendwa na genge lake la Usalama wa Taifa kutuibia Haki zetu? Wazungu wanamsemo wao Voting is the one moment when we are all equal in democracy. Watazania umefikia wakati wa kubadilisha mfumo wa kupigia Kura kutoka Manual to Electronically ili tuweze kuchagua Kiongozi tumtake sio wa Kuchagulia na akina Tendwa na Usalama wa Taifa wanaolinda Manufaa ya Mabwana zao.

Tudaini Katiba Mpya na Mfumo mpya wa kupiga kura wa Electronics.


Hakuna Kulala mpaka Mafisadi yafungwe Jela
 

Forum statistics

Threads 1,236,308
Members 475,050
Posts 29,253,663