Je, Tanzania inaweza kuwa Donor Country?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
Kulingana na hali ilivyo sasa je hii nchi hii inaweza kuwa donor country?Maana naona wanasema uchumi unayumba!

Je, tatizo ni nini?viwanda havijengwi?pia wanasema shilingi imeporomoka lakini BOT wanasema siyo sasa nani mkweli?Mzungu au BOT?maana wamesema kuna mtu katengeneza software ya Bloomberg kwa kupika data za uongo?

Kweli na kwa mslahi ya nani?

Tuiombee nchi!
 
Kuwa donor country haiji kwa matamko na makanusho ya kisiasa bali kwa mipango ya watu wenye akili kubwa katika nchi kwa kushirisha wananchi wote katika kufanya kazi na uwajibikaji wa.uzalishaji mali ndani ya nchi.

Kwa kutumia tafiti za kisayansi kutoka kwa wadomi va vyuo vikuu na kufanya development na implementation ya research za wasomi wetu ambao uangalia rasilimali za nchi kama kilimo madini misitu na vinginevyo ambavyo vinaweza kuwa explitedi kwa maslai ya taifa

Tatixo la nchi zetu aftical esp tz ni eizi(grant corruption) kwa viongozi wote tokra uhuru hadi sasa, ( mikataba ya kifisadi 10%)
kukosekana kwa elimu sahihi kwani mifumo yetu inatoa elimu ya kusoma notes kwa kiasi kikuwa bila kuangalia uwiano wa practical (vitendo) pia hakuna elimu ya uraia ya kutosha hivyo watu hawajui haki zao.
Lakini yote haya yanamezwa na matatizo yaliuotajwa na marehem mwl. Jkn kuwa ni maradhi
Ujinga
Umasikini
Nafikiri angekuwepo angeongezea na ufisadi mdani ya serikali za africa esp tz

Ata ingekuwa donor (blood group O ) kwa kila nchi sijui kama tungetoboa.
 
Deni la taifa linaongezeka, kuwa donor ni ndoto maana hadi wajukuu zetu wataendelea kulipa madeni yaliyoachwa na wakolomije.
 
Kulingana na hali ilivyo sasa je hii nchi hii inaweza kuwa donor country?Maana naona wanasema uchumi unayumba!
Je tatizo ni nini?viwanda havijengwi?pia wanasema shilingi imeporomoka lakini BOT wanasema siyo sasa nani mkweli?Mzungu au BOT?maana wamesema kuna mtu katengeneza software ya Bloomberg kwa kupika data za uongo? Kweli na kwa mslahi ya nani??
Tuiombee nchi!
Labda blood donor,na hata hiyo watakataa kwa kuhofia magonjwa ambukizi.
 
Inaweza. Njia ni kuminya mishahara na kutapanya hela kwenye ujenzi wa White Elephants kama jengo la TRA na International Airport Chato!
 
Kulingana na hali ilivyo sasa je hii nchi hii inaweza kuwa donor country?Maana naona wanasema uchumi unayumba!
Je tatizo ni nini?viwanda havijengwi?pia wanasema shilingi imeporomoka lakini BOT wanasema siyo sasa nani mkweli?Mzungu au BOT?maana wamesema kuna mtu katengeneza software ya Bloomberg kwa kupika data za uongo? Kweli na kwa mslahi ya nani??
Tuiombee nchi!
I have a dream! Although It took over years to see it at last the dream came true. With courage and strong determination ...Yes we can!
 
Tunaweza kua Mkuu wangu,
Kama tukikomaa kwenye "Uchumi wa Viwanda", ila sio viwanda vile vya kuambiana Cherehani 4 ni kiwanda.
 
Jisomee baadhi ya wananchi walivyojikatia tamaa.
Hawa ni wale waliokamatwa na vyeti feki most probably. Hawa lazima wajikatie tamaa.
 
Kulingana na hali ilivyo sasa je hii nchi hii inaweza kuwa donor country?Maana naona wanasema uchumi unayumba!

Je, tatizo ni nini?viwanda havijengwi?pia wanasema shilingi imeporomoka lakini BOT wanasema siyo sasa nani mkweli?Mzungu au BOT?maana wamesema kuna mtu katengeneza software ya Bloomberg kwa kupika data za uongo?

Kweli na kwa mslahi ya nani?

Tuiombee nchi!

Hizi ndoto zinatoka wapi? umeandika nini? nani aliyekutuma,
"KAZI BILA MIPANGO NI VURUGU" nachokiona Tanzania sasa ni vurugu. Tulipe kwanza hizo fedha kwa matrillion tunazodaiwa kisha tuwe na reserve ya more than Tzs 100Tr. ndipo tulete hiyo ndoto ya ku-donate, sisi wenyewe tunanuka madeni na mpango wa kuyalipa hata hatuuelewi/haueleweki, tunasubiri tupate Raisi atakayeweza kupata msamaha wa madeni kama Mkapa, jamani Let us write and talk realistic matters. Mchumi atuwekee takwim za kweli za uchumi wetu hapa, tusidanganyane!
 
Tufanye nini ili tuweze kuvuka hapa
 
I have a dream! Although It took over years to see it at last the dream came true. With courage and strong determination ...Yes we can!
Kwa uongozi huu wa akili za makinikia siyo rahisi hata kidogo!
 
Back
Top Bottom