mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,211
- 3,317
JE TANZANIA INAWEZA KUJITEGEMEA!?!?
Mimi nasema kwa mda huu haiwezi kujitegemea labda kwa baadae!!!
Mmesahau kama serikali ina mzigo mzito sana!?!!?
Twende wote hapa tuone.
1. Afya
Serikali inachangia kwa asilimia kubwa sana katika swala la afya... Ikiwa na maana kwamba wananchi walio wengi hawawezi kuzimudu gharama za afya. Umewahi kujiuliza kwa nini kidonge kiuzwe bei ndogo kuliko pipi!?!?
2. Swala la kilimo
Serikali kwa asilimia kubwa imebeba mzigo wa kilimo hasa katika swala la ruzuku na kutafta masoko hasa kwa kupitia bodi.
3. Elimu.
Kwa asilimia zaidi ya 70 elimu ya Tanzania imebebwa na selikali. Mfano kuanzia form one mpaka form four na elimu ya msingi inatolewa bure. Vilevile elimu ya chuo kikuu serikali inachangia kwa asilimia zaidi ya 80.
3. Miundo mbinu bado maeneo mengi haijifikiwa na huu ni mzigo wa selikali.
4. Huduma ya maji na Umeme kwa wananchi ni mzigo wa serikali na ukizingatia bado kuna maeneo mengi hizi huduma jamii haijifikiwa.
5. Ruzuku kwa makanisa na na misikiti ni pia NGO's ni mzigo wa serikali.
Kwa hayo mambo Yote selikali inahitaji kuwa na vyanzo tofauti tofauti kuweza kuitosheleza bajeti yake.
Kumbukeni bajeti yetu ni dificity budget.. kwa mfano ukiwa unapanga matumizi unakidogo ila mahitaji yako ni makubwa ambapo inatulazmu kutumia wahisani kuijazia bajet!!!
Nihitimishe kwa kusema Tanzania bado haijafikia wakati wa kujitegemea bila ya wahisani ukizingatia serikali haina kipato cha kujitosheleza na wananchi wake walio wengi bado ni masikini...
Mungu ibariki Tanzania.
Kibi Elias.