Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,399
Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani.
Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika kufariki kwa moyo kukosa hewa kutoka mwenye mishipa ya damu.
Uingereza iliiweka Tanzania kwenye ya nchi 31 ambazo ni nchi hatari kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVI-19 tangu mwishoni mwaka mwaka 2020.
Msafiri yoyote ambae anatokea Tanzania hutakiwa kujiweka karantini hotelini na kufanya vipomo vitatu kabkla ya kuruhusiwa kutoka hotelini humo.
Pia msafiri huyo atapaswa kulipa gharama za kukaa hotelini happo kwa siku 14 akiruhusiwa kutoka nje tu kwa kuvuta sigara au kufanya mazoezi nje ya hoteli hizo zilizopo karibu na viwanja vya ndege nchni humo.
Mpaka sasa serikali ya Tanzania haijatoa taarifa yoyote ya idadi kamili ya watu waloambukizwa na walokufa kutokana na ugonjwa huo.
Tangu mwezi April mwaka jana Tanzania imekuwa kimya juu ya twakwimu na hivi sasa imekuwa ikishauriwa na shirika la afya duniani WHO kushirikiana nalo shirika hilo na kuhakikisha tawkimu zinatolewa na pia Tanzania inashiriiki kikamilifu katika mpango wa chanjo wa COVAX.
Mpango wa COVAX ni mpango ambapo nchi zenye uchumi wa kati duniani zinajioroshesha katika mpango huo na kuwa tayari kupokea dawa za chanjo ambazo zingine zinakuwa ni zile ambazo zimezidi idadi kutoka katika nchi ambazo ziliahgiza dawa hizo kwa wingi,yaani kuwa "surplus".
Lakini mpango huo unazitaka nchi huzika kuchukua dawa hizi kwa njia ya mkopo yaani "Advanced Market Commitment " yaani AMC ambapo fedha zimetolewa na nchi wahisani za Ulaya na Marekani.
Barani Afrika ni nchi mbili tu hadi sasa za Afrika Kusini na Tunisia ambazo zimegharamia zenyewe dawa hizo.
Nchi ambazo zimekubali mpango wa AMC ni pamoja na Ghana, Rwanda na Congo DRC. Nchi hizi hadi sasa hazijatangaza idadi ya wartu walodhurika na matumizi ya dawa hii na zimekuwa kimya!
Ikumbukwe kuwa nchi nyingi zilizoendelea ziliagiza dawa hizio kwa wingi kiasi cha kuweza kuwa na idadi ilozidi yaani Surplus na hivyo kuweka uwezekanio wa dawa hizio kusambazwa tena kurudsihwa kupitia moango wa COVAX.
Tanzania ilikataa mapema mpango huo ambapo aliekuwa raisi wake John Magufuli hakutaka kukubaliana na masuala ya nchi kuwa na madeni zaidi ya yale ambayo ilikuwa nayo tayari.
Itakumbukwa kuwa Tanzania ilitangazwa kuwa nchi ilofikia uchumi wa kati kwa kuendelea na shughuli zake za kiuchumi ndani bila kufungia watu ndani na pia kutumia fedha zake za ndani kuendeleza miradi yake ya kimkakati na pia kugharamia uchaguzi wake wa 2020 ambao ulighubikwa na zengwe la wizi wa kura.
Kwa tuliomwelewa marehemu Magufuli tuliona kuwa alitaka kuchukua njia ya Afrika Kusini ambayo iliamua kununua dawa ya Johnson & Johnson . Na pengine alitaka kufanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa dawa ambayo watanzania wanapatiwa ni ile ilofikia viwango ambavyo Tanzania imeweka au imeshauriwa kuwa ndo ilofaa.
Mimi pia nilichangia katika moja ya mada humu kuwa endapo Tanzania imekubali kujiunga na AMC basi ingekuwa ni kwa kununua kiasi kidogo cha dawa hizo kwa ajili ya raia ambao wapo kwenye kundi hatarishi (vulnerable ) na wale watakao kusafiri.
Lakini hadi sasa Tanzania imefungiwa kusafirisha ndege zake kwenda sehemu mbalimbali duniani na pia raai wake isipokuwa wale wenye makazi ya kudumu katika nachi za Ulaya na Marekani ndo pekee wanoruhusiwa kuingia nchi hizo lakini kwa kwenda moja kwa moja kwenye karantini.
Suali langu linalenga moja kwa moja kwenye mpango wa COVAX ambao bado unazihimiza nchi zenye uchumi wa kati ikiwemo Tanzania kwamba je nchi yetu itajiunga nao?
Na hata kama Tanzania itajiunga na mpango huo je itatumia fedha zetu za kodi kugharamia dawa hizo aua itaingia katika mkataba wa mkopo wa kunza kulipa kidogokidogo?
Suala hili linapaswa kuwekwa wazi ili watazania wafahamu kuwa serikali iimeignia kwenye mpango huo ambao pia (pengine) utaruhusu rai wake kusafiri kwenda kokote watakako khasa katika nchi za Ulaya.
Ni jukumu la wizara ya afya kuja na mpango maalum na kuweka sera za wazi kuhusiana na kukabiliana na ugonjwa huu ambao kwa sasa ni dhahri utaendelea kuwepo kwa kipindi kisichojulikana.
Mpango huo ni pamoja na kuhakikisha wagonjwa wote waloambuklizwa ugonjwa huo na kuthibitishwa wanaorodheshwa na kunakuwepo taarifa hizo tayari kwa vyombo vya habari na hatimae huko makao makuu WHO.
Sambamba na hilo vifo vyote kupitia vyeti vya kifo zinakuwa vimerekodiwa kwenye mifumo na kanzidata na kuwa tayari kusambazwa kwa vyombo vya habari na WHO.
Pia Wizara ya mambo ya nje chini ya mwanadipomasia Riberata Mulamula kuweka wazi msimamo Tanzania juu ya ugonjwa wa COVID-19 na kuelezea dunia njia tutumiazo kukabiliana nao.
Huu si wakti wa kuja na taarifa za kiblanketi zisizoeleweka au "blanket or ambiguous statemets" ambazo hazitatufikisha kokote kama taifa katika majukwaa ya kimataifa.