Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.

Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.

Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc

Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Hii tukijibu hawatukamati mkuu wakasema ni chokochoko?
 
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.

Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.

Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc

Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
Ndugu mwananchi umeuliza swali zuri sana,tumelipokea na tutalifanyia KAZI😂😂😂
Endelea kuwa mzalendo hivyo!!
 
Tunawezaje kukuza uchumi wakati exports na tourism vimekufa?
Viwanda hatuna na watu wameshakata tamaa ya maisha, wanadhani watatoboa kwa kubet na biko?
Isitoshe hao mnaowaita watu wa kubet mmewabebesha mzigo mzito wa kodi za kila aina;
-Mafuta ya kula bei juu
-Tozo kichaa za miamala(double taxation)
-Petrol/Diesel bei juu
-Luku mmeongeza cha juu
-Mbolea na pembejeo mmeongeza kodi
- kwenye bajeti 11% ni ya maendeleo na 89% ni ya matumizi ya kawaida.
 
Uchumi una collapse. CCM inaendelea kupora hela za watu kibabe
 
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.

Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.

Pia naimani kwamba tunaendelea vizuri sana na exportation za dhahabu, Almasi, tanzanite, korosho, pamba, kahawa, chai etc

Ndugu wajuzi, naomba mnijulishe status ya Taifa letu kiuchumi kwa sasa
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Shetani mbaya sana.
Kipindi Cha mwendazake tuliaminishwa nchi iko uchumi wa kati na inakua kiuchumi kwa Kasi ya farasi. Mpango ndio alisema. Mpango Ni mchumi na alikua havai barakoa.
Mara baada ya kifo tikaaminishwa uchumi umedorora sana ndio maana hakuna pesa.
Mpango kawa makamu na anavaa barakoa.
 
Ngoja nikutane na mbunge wangu babutale alipita bila kupingwa atanifafanulia
 
tunasonga mbelee uchumi wa juu ya kati changamoto wale waliochambuka-chambuka wanaturudisha nyumaaa
 
Unfortunately your wish is in the opposite direction.Uchumi unakua vizuri nadhani hufuatilii utalii unafunguka,uwekezaji kuongezeka,exports kufanya vizuri etc etc.

Good enough miradi kila kona yaani nchi imekua construction site, mwezi wa tisa ujenzi wa wizara zote unaanza Dodoma plus ikulu bil.300 zimemwagwa na Rais kasema both private sector na public zote zipewe tender.

Ni hivi SSH atafanya vizuri kwenye uchumi kuliko Rais yoyote investors Wana imani nae ,juzi tuu hapo Kalemani kazindua kuanza ujenzi wa bomba la Hoima bil 250 ziko site,dangote anajenga kiwanda cha mbolea Mtwara, kampuni ya Burundi inajenga kiwanda cha mbolea Dodoma nk nk.

Tatizo lenu mko busy kusikiliza uszushi wa siasa uchwara za akina Kigogo na Lisu afu mnalia Lia.Ni hivi msipokaa mkao wa kula kipindi cha SSH mtaishia kulia Lia hadi mnazikwa.

Juzi Tarura watatangaza tender 1700 nchi nzima za ujenzi wa barabara toka tender 900.Kalieni porojo za kisiasa mtakula upepo.
 
Back
Top Bottom