Je, tabia ya kuperuzi tovuti za picha/video/clip za wakubwa ni ya wengi?

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,777
Wadau,
Sina uhakika sana juu ya tabia hii...ila ninakila sababu ya kusema vijana kwa watu wazima wengi wanapenda kupita kwenye tovuti za kikubwa...kwenda kujifunza baadhi ya mambo ya faragha au kwenda kuamsha amsha popo..though kwa wengine imekuwa ni addiction...

Japokuwa wenzentu wa KE huwa wanakataa kuwa na hii hulka..lakini research inaonyesha wanapenda sana kutazama na kufantasasy kila wanachokiona..ingawa ni wagumu kukubali hili.Na ndio maana inasemekana kwenye chama cha CHAPUTA mabinti namba ya ipo juu sana kuliko wanaume...

Mimi kwa upande wangu mara moja moja huwa nakatizaga huko hususani nikiwa bando ya kutosha...so far wanaume huwa tunawaza zaidi juu ya sex kuliko wanawake..

Tupeane experiance...kama halikuhusu siyo lazima ukomment....kuepusha dhahma....
 
Kama unamjua huyu wew ni mwanaume.
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    22.5 KB · Views: 55
Kusema ukweli sio tabia nzuri,
Pia kusema ukweli huwa napitaga pitaga mara moja,moja nikiwa sina kazi hasa mida ya Usiku.

Kama una watoto ufanye kuzificha kwenye zile app za kuficha videos, Kwa nje inaonekana kama calculator hivi,
Maana Kuna watu ukishika simu zao unaweza ukapofuka.
 
I
Kusema ukweli sio tabia nzuri,
Pia kusema ukweli huwa napitaga pitaga mara moja,moja nikiwa sina kazi hasa mida ya Usiku.

Kama una watoto ufanye kuzificha kwenye zile app za kuficha videos, Kwa nje inaonekana kama calculator hivi,
Maana Kuna watu ukishika simu zao unaweza ukapofuka.


Zina itwaje hizo app walau jina tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom