Je, taarifa hii ya kusitisha uhamisho toka tamisemi, inahusu had uhamisho wa ndani ya mkoa?

Na je sisi ambao tayari barua zetu zishatumwa tamisemi uhamisho hautotoka tena itabd tuombe upya mfumo ukianza maana wengine kila kitu tayari na barua zishatumwa so inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo haja ya nyinyi kujitathimini katika utendaji wenu usio na uhakika! Mnasumbua watumishi wenu kwa kutowajibika kwenu madhubuti. Tarehe 10/08/2018 mlitoa tangazo na kudai kuwa mtatoa vibali vya uhamisho baada ya wiki mbili toka kutolewa tangazo. Zaidi ya wiki mbili zimepita,Jana tarehe 29/08/2018 mnatoa tangazo la kusitisha huduma kwa kile mnachodai kufanya tathimini ya zoezi la uhamisho na kulipeleka katika mifumo ya kielectroniki. Katika tangazo lenu jipya hamjaelezea kuhusu hatima ya tangazo lenu lililopita kuhusu uhamisho! Na vipi kuhusu ambao walishafanya taratibu zote kabla ya tangazo hilo kutoka? Niwashauri tu kufanya kazi zenu kwa umakini na kwa akili kubwa. Ila mkiwa watu wa kutoa matamko kama wanasiasa,mtakuwa mojawapo ya matatizo katika nchi hii na ukizingatia unyeti wenu wa ukuaji katika nchi hii! Serikali imewawezesha sana pale Mkapa House nadhani vile viyoyozi ndio vinafanya mnasinzia tu ofisini na kutowajibika. JIPANGENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaathiri pia ndani ya mkoa maana kuna Dada yangu ni mgonjwa amejibiwa uhamisho umesitishwa na alikua anaomba ndani ya mkoa wa mwanza humohumo barua yake ilikua imeshapitishwa na mkurugenzi
Kazi ipo
 
Mmmmh! Amejibiwa na Nani? Mbona mi nimehama tayari, ndani ya mkoa unaruhusiwa, afatilie vzr, maana huo uhamisho unaishia kwa RAS ndo hutoa kibali sio TAMISEMI,
 
Duuuuh kumbe hivyo ngoja nimsaidie kufatilia ila wewe una uwezekano ulimaliza process then barua kusitisha ikatoka tamisemi
 
Uhamisho wa ndani ya mkoa haufiki TAMISEMI unaishia mkoani kwa RAS ndo anatoa kibali,
 
Ipo haja ya nyinyi kujitathimini katika utendaji wenu usio na uhakika! Mnasumbua watumishi wenu kwa kutowajibika kwenu madhubuti. Tarehe 10/08/2018 mlitoa tangazo na kudai kuwa mtatoa vibali vya uhamisho baada ya wiki mbili toka kutolewa tangazo. Zaidi ya wiki mbili zimepita,Jana tarehe 29/08/2018 mnatoa tangazo la kusitisha huduma kwa kile mnachodai kufanya tathimini ya zoezi la uhamisho na kulipeleka katika mifumo ya kielectroniki. Katika tangazo lenu jipya hamjaelezea kuhusu hatima ya tangazo lenu lililopita kuhusu uhamisho! Na vipi kuhusu ambao walishafanya taratibu zote kabla ya tangazo hilo kutoka? Niwashauri tu kufanya kazi zenu kwa umakini na kwa akili kubwa. Ila mkiwa watu wa kutoa matamko kama wanasiasa,mtakuwa mojawapo ya matatizo katika nchi hii na ukizingatia unyeti wenu wa ukuaji katika nchi hii! Serikali imewawezesha sana pale Mkapa House nadhani vile viyoyozi ndio vinafanya mnasinzia tu ofisini na kutowajibika. JIPANGENI

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu, marufuku ya kuhama imeisharuhusiwa au bado?
 
Bado wanajivuta vuta tu. Hawa jamaa wanawanyanyasa sana watumishi wao sijui kwanini. Majuzi afisa utumishi mwingine alisimamishwa kazi hivi hivi hapa Dar.
Majira leo kuna maofisa kuchunguzwa kwa kutoajiri..watu wanahangaika na ajira wengine wanakwamisha juhudi makusudi.
 
Back
Top Bottom