Je, syllabus mpya kwa darasa la Saba 2021(for English Medium schools) zimeshatoka?

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
10,757
18,594
Wakuu naomba kuuliza Kama syllabus mpya kwa ajili ya wanafunzi watakaoingia darasa la 7 mwakani waliopo darasa la 6 mwaka huu ambao ilitakiwa wamalize shule mwaka huu, kwa maana kulikuwa na mpango wa kupunguza madarasa kwa kuondoa darasa la 7 lakini ikaahirishwa.

Naomba kujuzwa wakuu.
 
Nani kasema imeghairishwa? Lete ushahidi wa utenguzi wa tamko la sera,
 
Kwa hiyo unadhani waliopo darasa la sita watamaliza mwaka huu?

Watamaliza mwakani, ila ilitakiwa kumaliza mwaka huu maana hata syllabus yao iliishia darasa la sita tu.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, huo ni upotoshaji, nakusihi itafute sera ya elimu ya 2014 utaelewa vizuri, sera haikutamka hivyo ila ilichange mfumo kutoka 2-7-4-2-3+ kwenda 2-I0-2-3+......yaani kutoka elimu ya msingi kuwa elimumsingi ambayo itakuwa na madarasa kumi ya msingi na ya lazima
Sio 6 kama ulivyoelewa.

Nipo tayari kurekebishwa pia
 
Back
Top Bottom