Je,swali kama hili ungejibuje,na kwanini ungejibu hivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,swali kama hili ungejibuje,na kwanini ungejibu hivyo?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by only83, Dec 5, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa na mdogo wangu leo mchana mjini na tukapita mahali fulani tukapishana na magari yamewasha taa mchana kweupe.dogo akaniuliza na mazungumzo yalikuwa hivi.....

  Dogo : Ati bro kwanini haya magari yamewasha taa mchana kweupe...

  Mimi : Kwa ujasiri nikajibu,yamebeba maiti(kwa hiyo kuna msiba)

  Dogo : Kwa hiyo magari yakibeba maiti usiku yanatakiwa kuzima taa,si ndio

  Mimi : Kicheko!!!!!

  Wewe ungesemaje?
   
 2. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungemwambia yanabeba majeruhi/wagonjwa uthiku.thawa..!?
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Kashishii ulale.
   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Ungemwambia usiku yanawasha mshumaa!
   
Loading...