Je suruhisho hili kwa dell ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je suruhisho hili kwa dell ni sahihi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Aug 24, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jama laptop yangu dell d630 ilileta usumbufu kwenye kioo ilikuwa inachora mistari na kuwa na rangi nyeusi baada ya kumpelekea fundi akajaribu ram, mkanda bila mafanikio ila kagundua tatizo ni kioo(display) fundi kasema kioo ni laki moja je kubadili kioo itasaidia vp wataalam kwa experience zenu?. Msaada plz!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kujaribu si mbaya, so long as ipo ndani ya uwezo wako. Otherwise get a new lappie
   
 3. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  labda kioo ndo kwere kama mkanda uko poa huenda uliigongesha sehem
   
 4. KML

  KML JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kioo mkuu na ndio bei zenyewe mkuu
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mistari ndani ya screen unakuta uliangusha and yes, half the time unakuta ulivunja display. kwa maoni yangu, kubadilisha kioo is not always the best option, mpaka upate display OG (na kwa laki I seriously doubt ni OG) ni mziki hapa bongo. hizi display za kichina shelf life yake ndogo na utakuta inasumbua very soon. ina maana hio crack kwa kioo ni kubwa kiasi you cant use it ikiwa nayo? option nyingine ni kuifanya hio laptop desktop. unaichuklia monitor and you're set to go

  display ina tatizo fundi anachek RAM? :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: kanimaliza nguvu huyo
   
 6. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ofcouse jins display ilipofikia si rahsi kutumia coz ina rang nyeusi kote na mistar yenye rangi ya tofauti kwahyo hamna kitu!
  Option ya kuigeuza desk top nimeipenda japo kwa leisure haina mzuka ila kwa kaz ts good! Thanks 4 ua advise na khs fund kuanza chek ram kwa mafund we2 wanavyobaatisha bila reasoning kawaida mdau!
   
Loading...