Je, suala la kutokulipwa mshahara katika kipindi hiki, Sheria inasemaje ikiwa una mkataba?

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
1,511
2,000
Wakuu kwema?

Poleni na majukumu.

Tuendelee kuchukua tahadhari na COVID19.

Wakuu naomba kuuliza kama una mkataba wa kazi ulopewa na mwajiri hivi akisema asikulipe mshahara kwa kipindi hiki sheria inasemaje.

Naomba kujuzwa wakuu, maana wengine tupo private sector na waajiri wanasema hawana pesa za kulipa kipindi hiki. Sasa nataka kufahamishwa hivi sheria ikoje Wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,998
2,000
Mimi najua kuna mkataba wa kudumu na ule wa kawaida yaani miezi mwili au miezi sita ,hii ya kudumu mara nyingi serikali ndio wanakupangia ukifikisha miaka 55 au 60 wanakulipa kiinua mgongo lakini hii ya miezi michache mara nyingi wanakupa mshahara wako unachapa mwendo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom