Je suala la kesi kusikilizwa upande mmoja, hii imekaaje naomba ufafanuzi

Boko halal

Senior Member
May 14, 2014
167
119
Kuna mtu alivamia ardhi yangu, nikashtaki baraza la kata nikashinda, akakata rufaa baraza la wilaya bahati mbaya nilipata dharura kesi nikamuachia jamaa yangu atafute wakili aniwakilishe, kumbe hakufanya hivyo.

Kesi imesikilizwa upande mmoja imebaki hukumu ila wazee wa baraza wamenipa ushindi, je na mwenyekiti wa baraza atanipa ushindi kama wazee hata kama sikusikilizwa, nifanyeje niweze kusikilizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom