Je, Stafeli ni mwarobaini bora zaidi wa Saratani kuliko mionzi?

Ugobha

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
1,060
2,383
Habari Wananchi wenzangu, poleni na pilikaplika za kutafuta riziki.

Naomba kwa wataalamu watusaidie ukweli kuhusu huu ugonjwa wa kansa ambao kila siku unatutenganisha na wapendwa wetu japo kuna sehemu nilisoma kwamba mstafeli juisi yake inatibu haraka sana kansa tena kwa kuongezea akaenda mbali zaidi kwamba mstafeli una msaada mkubwa katika kuua seli Mara 10,000 kuliko mionzi.

Kwa wale wataalam tunaomba msaada wenu hata yeyote asiye mtaalam japo ana la kuchangia karibuni tuangalie cha kufanya.

Asanteni
 
Nimewahi ona kwenye page ya huyu jamaa lakini sijafanya jaribio lolote.
Tembelea page yake ya Fb huenda ukapata msaada
Screenshot_20200908-011333_Facebook.jpg
Screenshot_20200908-011543_Facebook.jpg
 
Ni kwa jinsi ipi sasa?
Nikiwa na maana,
1) Yanatumika kama chai
2) Juice, au...!?
 
Chukua majani kama kumi weka maji lita mbili chemsha mpaka unakuja lita moja brown. Weka ndimu kidogo. Kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa wiki mbili. Utaona mabadiliko chanya mwilini!
 
Ni kwa jinsi ipi sasa?
Nikiwa na maana,
1) Yanatumika kama chai
2) Juice, au...!?
Kuna sehem wanadai yanatumika kama chai na upande mwingine yanatumika kama juice ngoja tusubirie wadau
 
Chukua majani kama kumi weka maji lita mbili chemsha mpaka unakuja lita moja brown. Weka ndimu kidogo. Kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa wiki mbili. Utaona mabadiliko chanya mwilini!
Shukrani kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom